Nataka kuoa Mwarabu au Muhindi

Hata mimi sijaelewa (mpenda ndogo) au ni mtu wa pwani nini,si lazima mwarabu au muhindi uswahilini pia zipo
 
Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by

Waarabu au Wahindi wanaokuja JF wala usiwahesabu kuwa Waarabu, kwanini haufungi safari tu ukaingia Dubai au Muscat au Egypt au India, unaoa unarudi, unahakikisha muarabu haswaaa au muhindi haswaaa.

Tanzania unaweza kulikuta toto jeupe ukafikiri la kihindi au la kiarabu kumbe mkorogo na nywele za kununuwa, siku hizi watu wana "chakachuwa" mpaka asili zao, kalagabaho.

Ushahidi huu hapa:

maimartha1[1].jpg
slyvia1.jpg
 
Kuwapata hawa watu ni very simple,nenda hapo Korogwe kuna kijiji kinaitwa makuyuni kipo barabarani,waarabu wapo wengi sana pale,hata old korogwe wapo wa kumwaga,shelui,Pia ukienda Nzega,jimboni kwa Rostam wapo wa kumwaga tuu,kazi kwako mkuu,tembelea hayo maeneo utakamata tuu wa kwako.
 
Dah we kiboko mpaka na uthibitisho! Sa si itabidi nijifunze kihindi na kiarabu kwanza ndo niende maana............
 
Kuwapata hawa watu ni very simple,nenda hapo Korogwe kuna kijiji kinaitwa makuyuni kipo barabarani,waarabu wapo wengi sana pale,hata old korogwe wapo wa kumwaga,shelui,Pia ukienda Nzega,jimboni kwa Rostam wapo wa kumwaga tuu,kazi kwako mkuu,tembelea hayo maeneo utakamata tuu wa kwako.
Dah mi nataka mwarabu wa kiukweli bhana sio kama wale wa kinyamwezi na kigigo sijui kisukuma
 
Sema unatamani nywele za kihindi au za kiarabu ambazo waswahili hawana. Hakuna jingine zaidi ya hilo
 
Hahahahaa tena hizo ndio wachina wanazitengeneza balaa maana siku hizi robo tatu ya wanawake wa kiswahili wana nywele hizo
 
Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by

Hao wanaangalia mapene kama unayo aaah unabeba toto la kihindi ila kama kapuku sahau hata msomali huoi
 
jiandae pia kukutana na ngorongoro crater za kufa mtu.......them nanilii are vere vere big aiseee!
 
Mkuu umeanza kunitamanisha na mimi

kitambo sana nina ndoto za kuchukua mtoto wa kiarabu...muda wangu ukifika..nitafanya juu chini...akikosekana basi sio mbaya hata mswahili ambae ni mweupeee atanifaa
msimwangushe bro kama watoto wa kiarabu mpo jitokezeni basi,najua na mim nitaunganishiwa na shem wangu
 
Usijali mdogo wangu kwangu atapatikana na muda wako ukifika atakuwepo tayari ntahakikisha hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom