Nataka kuoa lakini sijapata kazi wana JF, msaada

ibraton

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
353
185
Wana FJ nataka kuoa lakin cjapata kazi bdo mnaniambiaje niingie hafu kitaeleweka humohumo!!.

Ingia alafu mle mawe...lolz!!

Seriously though...inabidi ujue mtaishije.Kama mwenzio mambo safi na ni mwelewa then labda mnaweza mkakubaliana (maana kusaidiana muhimu ) alafu kazi unaangalia mbele kwa mbele.Siku ukipata kazi unaanza kutimiza majukumu yako kikamilifu kama baba mwenye nyumba!!

mkuu nakuomba sana usifanye kosa litakalogharimu maisha yako
kwa taarifa yako sasa hivi huwezi kuona matokeo ya hilo kosa,utayaona ukishaingia ndani,tumeona mifano mingi sana kwenye hilo
mkuu sio lazima kuoa dunia hii,watu kibao wako single na life inaendelea,tulia kwanza uwe na msimamo hata kama ukiwa na miaka 60 utaoa tu,,,,

• Thanks
Reactions: 3D.
He he he wewe oa tu usiwe na wasiwasi inawezekana hana kazi lakini ana pesa sa tatizo liko wapi coz kama huna kazi na pesa huna inakuwaga ngumu kuwaza ndoa,na pia inategemea malengo yako je unajua unakoenda?

• Thanks
Reactions: 3D.
Ingia alafu mle mawe...lolz!!

Seriously though...inabidi ujue mtaishije.Kama mwenzio mambo safi na ni mwelewa then labda mnaweza mkakubaliana (maana kusaidiana muhimu ) alafu kazi unaangalia mbele kwa mbele.Siku ukipata kazi unaanza kutimiza majukumu yako kikamilifu kama baba mwenye nyumba!!

On a more serious note inamaana mamilioni ya vijana wasio na ajira wasioe hadi watakapo ajiriwa? The society is surely headed for crisis.

• Thanks
Reactions: 3D.
On a more serious note inamaana mamilioni ya vijana wasio na ajira wasioe hadi watakapo ajiriwa? The society is surely headed for crisis.

Ndio maana nikasema ikiwa mwenzake ni muelewa sawa...ila kama sio muelewa hiyo ndoa itakua chachu kabla hata hakujakucha.Mwanamke anaweza akaanza masimango...dharau and the likes...sasa hapo raha ya ndoa itatoka wapi?!

Wana FJ nataka kuoa lakin cjapata kazi bdo mnaniambiaje niingie hafu kitaeleweka humohumo!!.
Kuoa ni swala jingine, na kazi ni swala jingine. Oa mwende kijijini na mkeo mkajaribu ukulima. Kazi siyo lazima iwe ya kuajiriwa, unaweza kujiajiri.

Mkuu Please nakushauri tafuta kazi kwanza jiwekeze ndo UOE, hatutaki tena urudi hapa uanze kuomba ushauri mara ooh kakugeuka. Nakuomba sana pata kazi chukua km miaka minne ndo uoe, Ndoa si kufanya mapenzi tu kaka ohoooooooooo

• Thanks
Reactions: 3D.
Oa kama mke atakuwa na job wewe utabaki unaosha vyombo na kufanya usafi home,tena kutakuwa hamna haja ya housegirl.

Mkuu Please nakushauri tafuta kazi kwanza jiwekeze ndo UOE, hatutaki tena urudi hapa uanze kuomba ushauri mara ooh kakugeuka. Nakuomba sana pata kazi chukua km miaka minne ndo uoe, Ndoa si kufanya mapenzi tu kaka ohoooooooooo

baelezee!baelezee papaa chimurungu,bingi nayo papa asyosya nawe.huyo jamaa nahisi anafikiri kuoa ni kufanya mapenzi tu!ahoji kwanza majukumu ya kwenye ndoa! Its easy kufikiri ni simple but in practice ndoa si mchezooooooo! Sio mchezo kam kombolela.

Kaka ushauri wangu wewe pambana kusaka kipato kwa njia halali, kuna alternatives nyingi ikiwemo ajira/biashara/kujiajili. ukishaona unaweza kujimudu wewe mwenyewe na vijicent vinabaki, basi hapo ndo ufkirie kumtafuta mwenzio au kumrasimisha aliyepo. Tatizo dada zetu kwa asilimia kubwa sana sio wavumilivu, na usije ukajichanganya ukawa na fikra kwamba kwakuwa mwenziwako ana kazi basi muungane then utafute kazi wakati anakulisha ndani ya hiyo ndoa mnayotaka kuifunga. kaka hakuna rangi utaacha kuona........ jipange tu maisha hayaishii kesho. usije ukaharakisha kuingia na matokeo yake ukajikuta unawahi kutoka mwenyewe...

Kweli kabisa atafute kazi kwanza kuoa utaoa tu, maana kama huna kazi hata hiyo harusi unategemea ufanyiwe kila kitu?

Back
Top Bottom