Nataka kununuwa flat 2 or 3 bed room

Zahor Salim

Member
Sep 1, 2010
29
8
Salaam wa wanaukumbi

naomba kujulishwa kama hapa dar es salaam kama kuna flat zinauzwa kwa njia ya malipo ya instlament yaani kama kuna mjenzi anajenga jengo la ghorofa kumi na zaidi na huwa anauza flat kabla hayaanza kujenga na kulipa down payment na balnce kwa muda wa miaka 2 au zaid.

Naomba yeyote anaejuwa naomba contact

natanguliza shukran
 
Salaam wa wanaukumbi

naomba kujulishwa kama hapa dar es salaam kama kuna flat zinauzwa kwa njia ya malipo ya instlament yaani kama kuna mjenzi anajenga jengo la ghorofa kumi na zaidi na huwa anauza flat kabla hayaanza kujenga na kulipa dowin payment na balnce kwa muda wa miaka 2 au zaid.

Naomba yeyote anaejuwa naomba contact

natanguliza shukran
nenda national housing watakuambiaa ni flats zipi znauzwa...shekilango pale washamaliza zote
 
post ya mwaka 2011 hii na kupata nyumba atakua alishapata, nyie ndo mnaona leo??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom