Nataka kununua guta:Kwa wenye ufahamu na hilo

ijoz

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
731
709
Habari wana JF.
Jamani nafikiria kununua guta. Hivyo kwa yeyote anayefahamu range za bei zake please naomba mnitaarifu. Pia mkinisaidia kufahamu taarifa zozote muhimu kuhusu GUTA itakuwa ni msaada sana kwangu.
Nikifanikiwa lengo langu biashara niifanyie Dar.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji HASA WENYE CONSTRUCTIVE IDEAS.
 
nenda pale manzese mahakama ya ndizi utakutana na wenzako wanaoendesha hayo maguta watakupa ushauri unaokufaa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom