nataka kununua galaxy tab ya samsung.

Manumbu

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
1,746
1,282
wajuzi, nataka kununua samsung galaxy tab 10.1. ukiacha internet, ambayo nnayo ofisini na kwenye simu yangu, hii tab itanisaidiaje kwenye kazi zangu ambazo ni za kuandika zaidi? asanteni
 
Back
Top Bottom