Nataka kununua camera, ushauri

Kitty Galore

JF-Expert Member
May 24, 2011
345
100
Wadau naombeni ushauri wenu. Nina mpango wa kutafuta kacamera kadogo lakini sijajua ni aina gani nzuri na vingine vingi vinavyohusu camera.
Ningeomba kwa wale wenye ujuzi na chombo hiki wanishauri ninunue ya aina gani. Nilikuwa napendelea digital camera yenye uwezo wa kuchukua na video.
Asanteni kwa ushirikiano wenu
 
kwa nini mnapenda kuunderestimate power of Google?

Google haitasema kama Nikon, Canon, Sony au Olympus just to mention a few, kama ipi ni nzuri, ninataka ushauri kutoka kwa watumiaji, sijui umenielewa?
 
Google haitasema kama Nikon, Canon, Sony au Olympus just to mention a few, kama ipi ni nzuri, ninataka ushauri kutoka kwa watumiaji, sijui umenielewa?
Ingia kwenye website ya sony then angalia product zao, soma specification zinazomeet ur requirements then place order kama uko mamtoni kuna free derivery, kama upo Bongo nenda Mlimani city, shoppers plaza, Jm mall utazikuta hizo product. una lingine?
 
Google haitasema kama Nikon, Canon, Sony au Olympus just to mention a few, kama ipi ni nzuri, ninataka ushauri kutoka kwa watumiaji, sijui umenielewa?

Ni vizuri wewe japo uje na options ya kutaja model ya camera mbili au tatu then omba ushaurri ipi inafaa. Zaidi ya hapo utachanganyikiwa kama si kuchanganywa.
 
kwa nini mnapenda kuunderestimate power of Google?

Ingia kwenye website ya sony then angalia product zao, soma specification zinazomeet ur requirements then place order kama uko mamtoni kuna free derivery, kama upo Bongo nenda Mlimani city, shoppers plaza, Jm mall utazikuta hizo product. una lingine?

Duh! na huku kumbe upo! Una pumba sana, jaribu smetimes kushirikisha ubongo
 
Jaribu canon wana bidhaa nzuri.

g12_586x186.gif
 
Ni vizuri wewe japo uje na options ya kutaja model ya camera mbili au tatu then omba ushaurri ipi inafaa. Zaidi ya hapo utachanganyikiwa kama si kuchanganywa.

asante kwa ushirikiano wako, ningependelea Canon, Olympus, Nikon au Sony
 
Mm natumia Sony ni nzuri sn.
Lens yake ni 28 mm
Optical zoom ni 5X
Ina 10.1 megapixel
Afu ni full HD
 
Ninatumia Panasonic 'Lumix' ni nzuri na inaweza kuchukua picha nzuri na inarekodi pia, kama upo dsm fika posta yapo maduka mengi yanauza bidhaa hizi na utakuwa na nafasi ya kufanya uchaguzi
 
asante kwa ushirikiano wako, ningependelea Canon, Olympus, Nikon au Sony

Kitty hizo zote unataja ni brand maarufu na zina model nyingi sana sasa ungetaja model ia ingesaidia

Mfano binafsi nina olympus u 1030. ni ya zamani kidogo. Lakini kwa wakati huo niliponunua ilikuwa mwake na bei ilikuwa nzuri sabau niliata bingo( teh teh teh) Unaweza kuina kwenye picha hapa.
mju1030SW_silver__front_M.jpg

kabla sijakupa maoni yangu nimabie je kila ukitoka utakuwa unaibeba? yaani utak uwa unatumia sana au ni mara chache. kama ni mtumaji wa mara kwa mara na unadhani unaweza kuazima au kuwapa watu basi nunua camara imara. Mfano hiii olympus nilyokuonyesha ni imara ia resist hata shock namaji

Vile vile Sijui bajeti yako ni kiasi gani lakini cheki hizi kwanza
Digital Cameras - Products tazama Olympus Stylus 8010 nadhani inaendana na hiyo niliyokutajia

Panasonic Japo hujaitaja wana model zao za Lumix zinaweza kukufaa mfano cheki Lumix DHC-FH27 - Panasonic Lumix DHC-FH27 Specs | PCMag.com For ladies mnaopenda some stylish look nadhani hii inaweza kwua chagua kuliko Olympus.

0,1425,i=305647,00.jpg


Kwenye hiyo site kila camera ina Prons and cons. ukizisoma kama hujaelewa unawez kuomba maelezo.

Baada ya kutaja brand taja pia na limitation ya bajeti yako.
 
Wadau naombeni ushauri wenu. Nina mpango wa kutafuta kacamera kadogo lakini sijajua ni aina gani nzuri na vingine vingi vinavyohusu camera.
Ningeomba kwa wale wenye ujuzi na chombo hiki wanishauri ninunue ya aina gani. Nilikuwa napendelea digital camera yenye uwezo wa kuchukua na video.
Asanteni kwa ushirikiano wenu

Portability (How does it feel in the hand; lightweight but durable construction)
Battery life (how long? How many pics? Rechargeable? Replaceable?)
More pixel doesn't necessarily mean better images (Anything between 10 - 14 megapixels)
Are you a brand person? If yes, then you already know which brand you want.
Additional features -- basic editor, settings, presets, etc.
HD ready (1080p thingumy)
Ports (HDMI, AVI, USB or miniUSB, etc.)
How deep is your pocket?
 
BUSIMINET COMPANY LIMITED
Po.box 12659
Kinondoni-Dar es salaam

Tanzania
Mob: 07 65 90 10 93 / 06 58 12 31 58
E-mail: busiminet@gmail.com
Website: busiminet.blogspot.com
OUR SERVICES: Tax, Business, IT, Accounting &Bookkeeping and Other services
TAX
1.Assist in preparation and submission of Returns to TRA
2.
Assist in estimation and determination of tax liabilities.
3.Online Returns submission and Payment Registration with TRA.
4.
Assist in Tax Payment processing.
5.Reminding about due dates for Tax payment and Other Tax/Statutory compliance.
6.
Tax health-checks
7.
Processing transfer or change of ownership with TRA
8.
Assist in filing and submission of TRA forms.
9.
Assist in Applications for Requesting Tax exemption.
10.
Tax consultation and advisory.
BUSINESS

1.
Assist in business licenses registration with municipals, ministries and other Government bodies.
2. Assist in business name, NGO's, Succoss and Company registration with BRELA.
3.
Preparation of Business Proposal, Constitution, Memorandum, Article of Association and Company Profile

4.Preparation of business plans
5.
Business Restructuring
6.Loan processing
7
.
Business consultations
8.
Preparation of Research proposals

IT AND RELATED SERVICES
GRAPHIC DESIGN
1.
Logo,Bill boards, Posters.
2.
Business cards, Identity cards (ID).
3.
Brochures Flyers, Invitation cards.
4.
Calendar,Product label Magazines
5.
Photo Editing and Retouching Special Envelope, Movie covers
6.
Website, Blogs and Systemdesign and development
7.
Computer maintenance
8.
Computer software installation
9.
Network designing and installation
10.CCTV installation
11.
AC installation and maintenance

ACCOUNTING AND BOOK-KEEPING SERVICES
1.Stock counting
2.
Preparation of bank reconciliations
3.
Preparation of annual financial statements complying with International Financial Reporting Standards.

4.Posting of financial transactions from source documents , (IFRS).
5.
Preparation of budgets and management reports.
6.
Payroll services (preparation of the payroll including pay slips)
7.
How to keep books of account

OTHER SERVICES
1.
Mining
2.
Marketing and advertisement
3.
Education
4.
Agricultural activities
5.
Gas activities
6.
Cargo clearing
7.
Legal consultancy
8.
Staff recruitment & Out-Sourcing
9.
Project management and analysis
10. Training and workshops to Enterpreneurs, scholars and other groups that need to excel in their business

Business in the smooth environment ensures growth


okoa muda,okoa pesa na kuza biashara yako kwakuhudumiwa na Busiminet co.ltd

 
I just bought the Sony a5100 not long ago . Splendid. Nilikuwa na a Samsung kabla ilikuwa inasifiwa kwa kuwa connected, lakini ilikuwa na matatizo ya lag, ukipiga picha inachukua muda kuwa tayari kupiga tena, mpaka uende ku tinker with settings sana lakini hata napo bado tu.

Hii Sony bila hata kugusa settings inatoa picha bomba naunaweza kupiga mfululizo bila kuchelewa.

Nimeipenda kwa sababu ni camera iliyo a bit advanced lakini iko compact kama point and shoot cameras.

Inachukua video vizuri pia (1920 x 1080 (60p, 60i, 24p), 1440 x 1080 (30p, 25p), 1280 x 720 (120p), 640 x 480 (30p, 25p)

The downside is the price range may not be approachable for the casual photographer.

For more, see the Amazon reviews at

http://www.amazon.com/dp/B00MHPAFAG/ref=psdc_3109924011_t2_B00HNJWU3G
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom