Nataka kumshitaki ocampo wa icc......!

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,077
Nataka kumshtaki OCAMPO kwa sababu zifuatazo:


Mauaji Iraq: Kwa nini mpaka leo hajawachukulia hatua watuhumiwa wa mauaji (West empires) ya (h)alaiki huko Iraq wakati wa kumg'oa madarakani Saddam kwa ushahidi wa uwongo wa Tume ya Nyuklia? mfano watu (wengi wakiwa wanawake na watoto) zaidi ya mia tano waliuwawa kwa mabomu ya WEST siku moja wakiwa wamejificha kwenye andaki jijini Baghdad.

Kasababisha mauji ya (h)alaiki hukoAfrika ya Libya: Kapeleka ushahidi wa uwongo Balaza la UN na kusababisha NATO kutumia ushahidi huo kufanya mauaji ya kutisha Tripol, Ban Walid, Sirte, Ghadame na kwingineko kwa msaada wa wahuni wa bengharz.

Ameweka mtego wa kusababisha mauaji mengine Sudan(Kaskazini) kwa kutoa waranti ya kumkamata Bashir...

Haya ni kwa uchache tu ....

Wanasheria wa JF ninaweza kufanikiwa katika shauri hili ili atiwe nguvuni Ocampo?
 
Ni matumaini yangu kuwa bado mnapitia makabl/rasha ya sheria ili mje na vigezo vitakavyo niwezesha kumudu shauri hili! Mchana mwema.
 
Back
Top Bottom