Poa, usijali.... Mamaaaaa nakupendaaaIM LOYAL TO MY DEAREST DRINK!!!!!!!!!! Siwezi kumsaliti
Sasa Leo wapi ......... MamaaaIM LOYAL TO MY DEAREST DRINK!!!!!!!!!! Siwezi kumsaliti
Tatizo kishakuwa staa so wa tandale si hadhi yake tena,ila unapointi akirudi uswaz aweza pata demu wa ukweli then atampiga sopsop na unyunyu na akaenjoy life,hayo magumegume anayoyasalandia yanampoteza tu!!
Yeye mwenyewe dayamondi used ya kichina..so hao ndo saiz yake wala asijifanye mtakatifu...
Tatizo ni kusoma sana magazeti ya shigongo'Aisifuye mvua imemnyea' walinena wahenga, umejualia wapi wewe BINTI SAYUNI a.k.a Zion Daughter?