Nataka kulala Mchana niifanyeje simu yangu?

Bora uweke silent ili uje uwatafute baada kwa kujifanya kuwa uliwa mbali na simu so hukuona calls zao. Ukizima watasema umewazimia makusudi
 
wakuu..
nashukuru swali hili limeleta majibu tofauti na yameonyesha upeo wa wanaojibu umepevuka vipi .na ikumbukwe kuomba mchango au ushauri haimaniishi muombaji hajui au hana choice ila anatafuta the best possible decision japo habanwi na ushauri tofauti na afanyavyo au apendavyo...
tafakuri
ukizima-waweza kukosa simu muhimu na za emergency
ukiweka silent- wapigaji wengine watajudge unaignore call zao na inaweza kuwa na negative results
ON- hutalala..unaexpect simu muhimu zitakuja za usumbufu
kama umecheza lottery za Voda wakikukosa as first prize winner wanacancel ushindi
ukiweka Voice mail- inategemea na mpigaji kama anajua kutumia hiyo huduma au la..
Ukidivert-- inategemea umedivert kwa nani? mkeo, mmeo?mwanao?, mfanyakazi, rafiki etc na atarespond vipi kwa mpigaji...patamu hapo!!
NB; dunia kijiji wewe unaona usiku wa kulala mwenzio ndo kumekucha yupo ofcn...
SIMU HIZI it is another addictive drug!
 
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?

Mimi nakushauri uitumbukize chooni kwa maana imeandikwa Kiungo chako kimoja kikikukosesha king'oe ukakitupe baharini.
 
Mkuu
kwanza nimefurahi
teh ! teh ! teh
nimechekeshwa kwa kukuta comment zangu humu za February so zimekua update.
Back to the mada ni hivi kwangu mie haitesi simu yangu kuita nikiwa mbonji , itanitesa ikiita wakati nalishwa nyumba, ama napewa cha'day ama cha'nite ! Alafu eti simu iite hapo ndo nakatwaga handas!
Hii ya usingizi mi nikilala simu yangu hua nampa wife.
Na wewe nakushauri fanya hivyo.
Fullystop
 
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?

itumbukize kwenye maji.
 
Mkuu
kwanza nimefurahi
teh ! teh ! teh
nimechekeshwa kwa kukuta comment zangu humu za February so zimekua update.
Back to the mada ni hivi kwangu mie haitesi simu yangu kuita nikiwa mbonji , itanitesa ikiita wakati nalishwa nyumba, ama napewa cha'day ama cha'nite ! Alafu eti simu iite hapo ndo nakatwaga handas!
Hii ya usingizi mi nikilala simu yangu hua nampa wife.
Na wewe nakushauri fanya hivyo.
Fullystop

Hahaha....valid experience
 
Back
Top Bottom