Swali la kijinga. Are you a Great Thinker.
Mwili wako una thamani sana kuliko hiyo simu yako. Kama vipi we zima simu upumzike!..Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?
Itie kwenye maji.
Jibu la kijinga ! Are u thinker also ?
Inaonekana JF ukitukana kwa kizungu siyo tusi!!No. I am Idiot. Like you.
Inaonekana JF ukitukana kwa kizungu siyo tusi!!
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?