Nataka kujua.

SAMRASI

New Member
Jul 29, 2011
2
0
Kama mtu akitukana/akinitukana na nikimpeleka mahakamani......kifungo chake ni miaka mingapi au faini yake nish.ngapi?
 
kifungo miezi sita au faini isiyozidi 50000 au vyote kwa pamoja. Muda wakesi si chini ya miezi sita kabla ya hukumu.
 
Kama mtu akitukana/akinitukana na nikimpeleka mahakamani......kifungo chake ni miaka mingapi au faini yake nish.ngapi?[/QU

Ni kipi au condition zipi kwamba mtu anatozwa faini peke yake au kifungo pekeyake au vyote viwili kwenye makosa kama haya ya kutukana,,kupigana au kumzalilisha mtu?
 
@SAMRASi hiyo ni kazi ya mahakama kuamua kumtoza faini au kifungo au vyote kwa pamoja lakini pia mwenendo mzima wa kesi huangaliwa
 
Pia ukumbuke pia adhabu haiji tu hivi hivi lazima uthibitishe kwamba maneno aliyoyatoa ni matusi kwa jamii inayokuzunguka pia yalitolewa kimaandishia au kimatamshi nani alisikia nk...?
 
Back
Top Bottom