Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

Ukiwaona wafuatao, ndio wanaume wakinyakyusa tulivyo:
Dr. H. Mwakyembe, Prof. M. Mwandosya, Dr. Ulimboka Steven,
Afande Abdallah Msika, Coach Dan Korosso, Coach John Kanakamfumu,
Mwimbaji Bon Mwaitege, Mch. Anthony Lusekelo, Mwalimu Christopher Mwakasege,
Sheikh Aboubakar Mwaipopo, Jaji Lawrence Mwalusanya, Balozi Mwasakafyuka,
Mjasiriamali Richard Kasesela, Cha Moto wa JF, RC mstaafu Mbeya John Mwakipesile na kadhalika na kadhalika.

Ila kwa kifupi hawa watu ni MAJASIRI sana.
Na upande wa MAPENZI ni wajuzi mno.
 
5" mpaka 6" sio zaidi.

Wasukuma, Wanyamwezi na Wamasai, ni above average, nchi 7 mpaka 12.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
ladywho naona watu hawataki kupa msaada..mimi nimesoma nao hawa ngoja nkupe..
1. Kelele-sifa ya kwanza kabisa hawa jamaa wana kelele mnoo..yani hata kama waongea nae ana kwa anashout kinoma.
2. Kujiskia-kutana na alieenda shule kidogo afu awe na vihela...atajitangaza mtaa mzima yeye ndo mwasakafyuka..
3. Kujionyesha/too boastful- akiwa na kitu cha tofauti na wengine..let say kanunu kiatu au kashona suti mpya..haoni hatari kusema yeye tu.
amependeza hata kama mpo watu 2000
4.hawawakubali makabila mengne kama wapo zaidi yao..
5.hawawakubali wanawake wao wa kinyakyusa..-hii ndo tabia mbaya kuliko ya hawa watu..wengi wanasema hawawezi oa huko kwao..hawapendi wanawake wao! Cjui why? Ntafanyia utafiti hli..
6.dharau..

Ila ukikuta wenye akili wanaburuza kwelikweli.!
7. Sio wachoyo.-msifie sifie tu..
 
Last edited by a moderator:
unatafuta Bwana?...
mume mwema anatoka kwa MUNGU...sio kuulizia kama mchele...kwamba huu wa kyela...unanukia...huu wa morogoro hauna mawe....huu magugu n.k
 
unatafuta Bwana?...
mume mwema anatoka kwa MUNGU...sio kuulizia kama mchele...kwamba huu wa kyela...unanukia...huu wa morogoro hauna mawe....huu magugu n.k!
 
hizi threads sasa zinaboa

mnyakyusa kazaliwa dar,mbeya anaenda kusalimia..

mnyakyusa kazaliwa London kaja TZ ana miaka 18....

mnyakyusa kazaliwa na mama mzaramo na kalelewa kisiju kwa wajomba zake

mnyakyusa kazaliwa Tanga ambapo baba na mama yake waliishi kikazi

mnyakyusa kasoma Kenya from Primary to University........


get it now?
Mkuu umeongea pointi muhimu kweli. Zinatuhusu wengi
 
Back
Top Bottom