Nataka kujua maandalizi ya awali ya mradi wa nguruwe

Chiwa

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
3,974
4,733
nakumbuka zamani nilisoma miezi 6 pig production ila mwalimu hakuwa anaweza kunielekeza vizuri na kiingereza chenyewe cha form one ndo vile matokeo yake leo nakumbuka kidogo sana.ninajipanga kufanya biashara hii kwa sasa naomba nielezwe uzoefu wenu pia niweze kuongeza ufanisi zaidi ikiwa ni pamoja na matayarisho ya banda liweje chakula,kuzaa muda wa kuuza na mengine mengi kwa kadri mjuavyo.msilete utani hali mbaya biashara zingine zimeshikiliwa na eura bora haitumii sana mafuta ukiwa bush.
 
Tafuta kitabu kile cha kilimo, tulichokuwa tunatumia o-level. Kimechambua vizuri sana mambo ya animal husbandry and farm produce in general.
 
ni lazima uwe na shoka la kumdunda mpaka afe mana huwa hachinjwi na pia andaa moto wa kubabulia. Yaani wewe umekosa biashara zote mpaka ukafuge mnyama aliekatazwa na vitabu vyote vitakatifu! QURAN, INJIL, TAURAT NA ZABURI. UKIHITAJI MAANDIKO UTASEMA MANA MNABEBESWA VITABU AMBAVYO HAMVISOMI.
 
<br />
<br />
Biashara imekuwa mbaya kipindi cha mfungo wa Ramadhan, Ngoja swaumu iishi biashara ianze ku-peak.
 
huwezi kuamini siku hizi kufipata kazi kweli kweli kuna siku nilizunguka dar natafuta vitavu tulivyotumia vya sibuga na sikuvipata nikakumbuka vyangu niligawa roho ikaniuma sana ila nadhani nikienda moro nitavikuta japo sua japo hicho ulichoniambia ni kizuri zaidi nitakitafuta
 
ni lazima uwe na shoka la kumdunda mpaka afe mana huwa hachinjwi na pia andaa moto wa kubabulia. Yaani wewe umekosa biashara zote mpaka ukafuge mnyama aliekatazwa na vitabu vyote vitakatifu! QURAN, INJIL, TAURAT NA ZABURI. UKIHITAJI MAANDIKO UTASEMA MANA MNABEBESWA VITABU AMBAVYO HAMVISOMI.
ni kweli kwa imani yako na nisingependa kuingilia imani ya mtu binafsi aliyekuwa ananifundisha vizuri kuhusu nguruwe alikuwa mwislamu safi na nanyefuata imani yake ila anajua magojwa yake kupita kiasi na mzunguko mzima wa nguruwe tabu nilikuwa kilaza nikabaki natumbua macho muhimu ni jinsi gani naweza kuanza biashara hii na maisha ya kaenda. kama umekwazika pole sana sio lengo langu.
 
ni lazima uwe na shoka la kumdunda mpaka afe mana huwa hachinjwi na pia andaa moto wa kubabulia. Yaani wewe umekosa biashara zote mpaka ukafuge mnyama aliekatazwa na vitabu vyote vitakatifu! QURAN, INJIL, TAURAT NA ZABURI. UKIHITAJI MAANDIKO UTASEMA MANA MNABEBESWA VITABU AMBAVYO HAMVISOMI.

penye re, kumbe unakatazwa na vitabu visivyo na uhai....... great thinker wa wapi weye???? dini ni bangi tu
 
ni lazima uwe na shoka la kumdunda mpaka afe mana huwa hachinjwi na pia andaa moto wa kubabulia. Yaani wewe umekosa biashara zote mpaka ukafuge mnyama aliekatazwa na vitabu vyote vitakatifu! QURAN, INJIL, TAURAT NA ZABURI. UKIHITAJI MAANDIKO UTASEMA MANA MNABEBESWA VITABU AMBAVYO HAMVISOMI.

Duh! nimecheka sana, jamaa ana hasira.
 
Back
Top Bottom