Nataka kujivua gamba ila.......................

Duh! Kuna lile tangazo la Panadol redioni " Maumivu ya homa yanaaaaaaaaaanza Taraaaaatibu!"

Mkuu tafuta matibabu ya huo ugonjwa kabla ujazidiwa na kupelekwa India..... Ugonjwa ukizidi sana atakuletea wanaume humo ndani ya nyumba yako nawe atakupoza kwa mauno ya kitandani kwani anajuwa umezimia kwa hayo mauno ambayo kwa mtazamo wangu unaweza pata mbadala....

Kuna tangazo lingine redioni linasema " Chukua tahadhali SASA!"

maumivu tayari na ninafanya mipango ya India
 
maumivu tayari na ninafanya mipango ya India

Ha ha ha ha ... Salamu zao... India.. lakini Mkuu kabla hujaenda India jaribu Muhimbili...

Kama Mama anajua kuwa umezimia viuno vyake mwambie una safari ya kwenda Tanga... akiuliza kwa sababu gani.. unamwambia umesikia watu wanasema kuwa unaweza pata Subsitutes nzuri ya mauno...

Anaweza kufikiria kauli yako mara 100.....
 
mhimbili hamna kitu mkuu,nikimwambia naenda tanga yeye mwenyewe kazaliwa tanga,heri india tu
 
Back
Top Bottom