Nataka kujivua gamba ila.......................

Yaani totoz likikasirika linaondoka likitingisha mzigo ? na unataka ushauri kweli ? hapo usiondoke hata kwa forklift aisee.

heheeh kamanda umeona eeh? yaani jimama linavibrate bila sabab za msingi laivu. Hapo kama mimi nalikasirisha maksudi litingishe.
kamanda excellent komaa nalo jimama, tayari una kura za magreti thinka mawili muhim sana hapa JF
 
unakuta anakufikisha kunako halafu bado anakulisha na matumizi juu dah...huwezi kurevange kauli yake.
Hayo matumizi ni cha mtoto tu, hata david cameroun pia anatumia, lakini jimama linavibrate? khaaaa!
tusemeni ameen!
 
heheeh kamanda umeona eeh? yaani jimama linavibrate bila sabab za msingi laivu. Hapo kama mimi nalikasirisha maksudi litingishe.
kamanda excellent komaa nalo jimama, tayari una kura za magreti thinka mawili muhim sana hapa JF
tatizo huli kwa raha,unakula kwa shingo upande na kesho mipasho kama kawa
 
Hayo matumizi ni cha mtoto tu, hata david cameroun pia anatumia, lakini jimama linavibrate? khaaaa!
tusemeni ameen!
linavibrite kama simu ya philips toleo la mwanzo,likivibrate kama mashine ya kusaga
 
Mkuu usichanganye mambo kama sio mwaminifu hilo swala lingine lakini kama kameza tu CD na yuko fit kwa room na majonjo ya sebuleni kwa saana sioni tatizo.
mkuu lazima atakuwa amepewa maneno,itakuwaje ameze CD tena album halafu hakuna kani kinzani?
 
ni kweli helmet inavaliwa kwa usalama ila kuna ajali huponi,ila vibration ndo inanifanya nigeuze shingo nyuma

Hiyo vibration ni bidhaa adimu kamanda, huku shekoslovakia unalipia madola kibao kwenda kuona hiyo kitu.

Komaa kamanda! hapo hata akikwambia umfulie makufuli yake wee komaa tu
 
Hiyo vibration ni bidhaa adimu kamanda, huku shekoslovakia unalipia madola kibao kwenda kuona hiyo kitu.

Komaa kamanda! hapo hata akikwambia umfulie makufuli yake wee komaa tu
kwa mtindo nitageuzwa house boy na sio mme kamanda
 
Back
Top Bottom