nataka kujiunga na jeshi

Guys, we have to be serious!
Mtu anaomba msaada, na hapa ndio mahali sahihi lakini inaoonekana kama vile yuko kwenye jamvi la jokes!

Ndugu! JWTZ huwa wanatoa matangazo ya recruitment ya professionals. Hapa inategemea degree yako ni ya nini?, umri gani (<35)? usiwe na alama za kudumu (kovu lolote), kilema chochote, nk. Zaidi ya hapo uwe na damu salama (not HIV +ve), lakini pia uwe mwanaume kamili (rijali), kwa level yako hakuna kujuana sana kwa kuwa usaili ni moja kwa moja kunduchi makao makuu!

Kila la heri mkuu!
 
Nashukuru wote ijapokuwa kunazingine zinakatisha tamaa i take us a challenge. GOD BLESS U ALL.
 
Hello jamii Forum

I was moving along the messages on the chat... trying to find the topic so called Ufisadi wa Kutisha jeshini Tanzania. Mtu mmoja tu kuwa na 3 trilion TSH in his account in SA... nani ana habari kamili juu ya habari hii. Nimeopt kuulizia hii taarifa hapa, pengine huyu anayetaka kujiunga na jeshi anataka kwenda kuwa mkombozi huko?
 
du humu ndani kuna vichwa kweli kweli.... yaani kila jibu la mtaka kujiunga na jeshi linalotoka du ni kichekiesho serious! ngoja nifunge ofisi nikalale mbavu zinauma willingly, sukupigwa wala!
 
oya mjomba we ni mkurya au msukuma?maana hayo makabila ndio yanapenda jeshi,una elim tafuta kazi nyingn au kama vp kawe mgambo wajiji ulinde wamachinga na mali zao!!
 
Real if any one even knows the website of JWTZ or procedures how to apply please let us know coz people are serious about it.
 
Sifa za kujiunga na jeshi ni kama zifuatazo
1.uwe mrefu na usipungue mita 2000cm
2.uwe na umri usiozidi 25
3.uwe mtanzania by birth
4.uwe na historia ya kupigana na watu
5.degree yako itokeee chuo kikuu....cha serikali
6.uwe na sura mbaya sio sharobalooooo

7.
5.uwe u
 
nipo serious wakuu b'cause it has been my dream na kunawengine wananikatisha tamaa na mi nataka kuwatumikia watanzania kwa kuwalinda.
kama una ndoto za kuwatumikia watanzania mi nakushauli ujiunge jiunge na ulinzi shirikishii
 
ni-pm ntakuelekeza..., humu kuna wapuuzi wengi tu.., mtu anaomba msaada watu mnajibu ****** tu, ni pm dogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom