nataka kujiunga na jeshi

Bwai

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
721
486
ndugu wana jf mi ni member mpya nisaidieni nataka kujunga na JWTZ UTARATIBU UNAENDAJE
 
Nipo serious wakuu b'cause it has been my dream na kunawengine wananikatisha tamaa na mi nataka kuwatumikia watanzania kwa kuwalinda.
 
Nipo serious wakuu b'cause it has been my dream na kunawengine wananikatisha tamaa na mi nataka kuwatumikia watanzania kwa kuwalinda]

kama kutumikia watanzania kwa kuwalinda nenda KK security na ultimate au Zomboko security guards,lol

well huwa wanatangaza na intake ya mwisho imetoka last week!
 
Naamini vigezo vyote nimetimiza na kuhusu education nina degree 1.
 
ndugu jf mi ni member mpya nisaidiedien nantaka kujunga na JWTZ UTARATIBU UNAENDAJE
kweli una digrii moja, ila jaribu kusubiri wakitangaza posti uombe,,vp hizo nyekundu unamaanisha au sibahati?
 
Hebu achani ubabaishaji, anayejua amsaidie jamaa. A@Bwai ni Pm niko pamoja nawe, nina huo mpango na kule Upanga yupo jemedari mmoja ni bro angu tutasaidiana bwana.
 
Hebu achani ubabaishaji, anayejua amsaidie jamaa. A@Bwai ni Pm niko pamoja nawe, nina huo mpango na kule Upanga yupo jemedari mmoja ni bro angu tutasaidiana bwana.

kwa mapango hatutafika.. inamaana hatopata nafasi hadi kuwe na kujuana!....?

bro uliyeliza swali nadhani jeshi wana website yao wametoa vigezo vyote .. la kuzingatia zaidi ni umri
 
Hebu achani ubabaishaji, anayejua amsaidie jamaa. A@Bwai ni Pm niko pamoja nawe, nina huo mpango na kule Upanga yupo jemedari mmoja ni bro angu tutasaidiana bwana.
<br />
<br />
mkuu bro yako ni jemedari upanga!, hiko ni cheo au nn? Usije ukamtapeli tu mtt wa mwenzako kwa kumtajia misamiati migumu isiyokuwa na maana yeyote.
 
I think kujua degree niliyonayo siyo big deal kikubwa ni kuwa nataka kujiunga na jeshi.
 
sometimes kuweni serious, mwenzenu anashida nyie mnaleta porojo, sio fresh wala nini, iwe anataka kwa kujiunga kwa nia mbaya au nzuri ni uamuzi wake, ameomba msaada mwenye kujua amsaidie.
 
Then msiwe kama facebook bhana great thinkers mnakuwa hamuelewi kama mtu ametoa thread then huielewi ujue hujaandikiwa wewe si lazima ujibu. Kuwen serious nigaz!

Nafikiri wewe na huyo mwenzio mnafit huko facebook.Mtu mwenye degree hajui procedure za application za kazi? Acheni kujaza threads zisizo na maana.Wewe si ndiyo yule aliyeuliza kuhusu cover letter?,mnawapotezea watu muda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom