Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 133
Wadau salaam zenu,
Najua hiki ni kisima cha maarifa na ndo maana nimeweka wazi nia yangu ya muda mrefu ili nipate mawazo yenu.
Mpaka sasa nimeshanunua ardhi yenye ukubwa wa ekari tatu, nimwemwaga mchanga na kokoto site kwa uchache lakini.
Plan ni kuanza kujenga madarasa matatu, ofisi, na vyoo vya public kwanza kutokana na uwezo wangu mdogo.
Haya madarasa nina imani nitayakamilisha kwa ubora wa wahili ya juu ndani ya mwaka huu. Kuhusu furnitures nitacheck mwakani (2012).
Kuhusu waalimu, nimepanga kutumia wa hapahapa nchini kwa sababu naamini wapo wengi wa kutosha.
market segment bado inanisumbua; maana binafsi nilifikiaria kujikita kwenye masomo ya science kwa O - Level ambayo ni ugonjwa wa taifa but nikifikiria mambo ya Maabara na eneo ninalotaka kuanzisha shule napiga chini hilo wazo ( hapo mahali hakuna umeme).
Naombeni ushauri wenye kuwezesha kufanikisha kiu yangu.