Nataka kuingia kinyang'anyiro cha Ubunge jimbo la Kwela, nipeni data!

teh teh huyu anatafuta kutolewa mshipa ....we muache ajishauwe tu ..anathubutu kutaka kuchukua fomu kwenye jimbo la Mzindakaya???hahaaaa
Kigogo hatupaswi kuwaogopa Wachawi, ukianza kuingiwa roho ya wogo,ooh umekwisha.
 
Malinga
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Mon Nov 2009
Posts: 4
Thanks: 2
Thanked 2 Times in 1 Post
 
Hey Masanilo

You know may be you have those qualities in you as unseen and unrecognizable traits as I think this message wouldn't have fallen to you with no purpose so might need to start thinking of it now be it Kwela or somewhere alike

NO THANK YOU! I appreciate ur complements thou!
 
Dear Msanilo, I am happy to learn that your currently planning to contst for MP at Kwale constituency which for the last 30 years has been under the control of Chrisant Mzindakaya.I will very gratfyl if you can provide me with any an appropriate means of communication through which the information you required can be provided easily.For security reason I think is not good to pour out millet over thousands of peagions as once pro-mzindakaya know what you intend to do against him, they will also find a better deffensive mechanism against you.You have to know that Mzindakaya is not an easy man.He is primarilly wizard man in all atitudes.He killed MP for Kigoma Urban constituency when he was a regional Commission for kigoma and he used that post to benefit himself by running illgeal business of gold and diamond under government name.When Kigoma MPs united against him under leadership of Mbano, he victimised him.He also used his authority as Regional Commisioner to utilize prisoners'manpower contrary to the law.Prisoners had to work on his firms of more than 1000 hectors free of charge just because he was RC.THESE ARE JUST A HINT ONLY OF INFORMATION YOU NEED BUT I WILL BE ABLE TO TELL YOU MUCH FURTHER THAT THAT IF ONLY YOU PROVIDE WITH ME JUST A FORGILED E-MAIL ADDRESS FOR CONTACT BETWEEN YOU AND I.fOR THE TIME BEING IAM IN THE UK FOR PhD STUDIES.

Duuh Mkuu,kama watu wa PhD ndio wanaandika namna hii bora nibakie na cheti changu cha Mgambo-Tabora
 
Ex- Fisadi na wachangiaji wengine

Kwangu, naona mawazo yenu, ni mazuri mno. Nilitarajia kwamba nitapata changamoto ya kutosha kwenu. Ninathamini mawazo yenu yote. Hata hivyo special thanks to Ex-Fisadi, ninahitaji comments zitakazo nipatia changamoto kama za huyu ndugu. Comments za kina zitanisaidia, kufanya SWOT analysis (Stregth, Weaknesses, Opportunity and Threat) Analysis. Mawazo yenu ni changamoto nzuri ya kuelekea kutimiza ndoto yangu. Ninaendelea kupata mahali pa kuanzia. Tafadhali kwa wale watakaopenda kunitumia Private Mesage (PM) wafanye hivyo. Email yangu ni twamlaula@gmail.com

Ninaomba muendelee kuachilia vitu. Ninataka mmwage mapungufu yote, mnayoyaona kwangu. Ndiyo maana nimejiweka wazi ili nipate maoni yenu. Niko tayari nipokee kila kitu ambacho mtasema, ili nianza kukifanyia kazi. Pale nitakapo yafahamu mapungufu yangu vyema, ndipo nitafahamu namna ya kuanza kusogeza mguu mbele.

Nimatumaini yangu kwamba nitapokea PM kutoka kwa Ex-Fisadi na wengineo.

Kamwe siogopi uchawi, na hauwezi kunifanya lolote. Hakuna uchawi juu yangu, soma Hesabu 23:23 (Biblia takatifu). Big up to First Lady1 and nguvumali.

Abraham Lincoln " If you give me six hours to chop down the tree, i will spend the first four hours sharpening an axe"
 
Fungu la Kukosa

Got it wrong, I have no ambitions to become a politician at all, am happy with what have been doing for my country. Its Mr/Miss Malinga who is vying to uproot Hon Dr Mzindakaya in Kyela constituent! for records keep it clear

Msanilo,

Naona huwa husomi kabisa threads na badala yake ni kukimbilia kuandika tu. Hivi hapa kuna mashindano ya posts nyingi? Kwela imeshageuka na kuwa Kyela, jamaa kasema anagombea CCM, wala hujaona.

Soma vizuri kabla ya kuchangia.

Malinga, umekosea, ungesema unagombea CHADEMA, naamini ungepata ushauri kibao na pia PM nyingi.
 
ujasili, nia na uuwezo .mdomo wenye sera bora, kwa brabra za kuvutia utaweza zai ya yote kaage kwa bibi nae atatoa mchango wake kwani huko ndiko kwenye siri ya mafanikio kwa wanasiasa wengi
 
Msanilo,

Naona huwa husomi kabisa threads na badala yake ni kukimbilia kuandika tu. Hivi hapa kuna mashindano ya posts nyingi? Kwela imeshageuka na kuwa Kyela, jamaa kasema anagombea CCM, wala hujaona.

Soma vizuri kabla ya kuchangia.

Malinga, umekosea, ungesema unagombea CHADEMA, naamini ungepata ushauri kibao na pia PM nyingi.

Du umeharibu zaidi, anyway JF ina member wa aina nyingi, divers na sinkers!
 
Mkulima

Unataka unaposema Malinga angesema Chadema angepata PM nyingi, unataka kutuambia sehemu kubwa ya wana JF ni wanachama wa CHADEMA au JF ni chombo cha kupinga CCM au unamaanisha nini hasa??? Tafadhali sawazisha, umetumia tungo tata!
 
Njia nzuri ya kuingia kinyang'anyiro cha ubunge sehemu fulani ni ku network na watu wa pale locally, uelewe kero zao, uelewe nani wana influence, uelewe network ya wapinzani wako ikoje, uelewe weakness zao, uelewe potential zako ziko aligned vipi na needs za watu wa pale.

Ni vigumu sana kuendesha campaign kupitia internet katika nchi ambayo umeme ni tabu.

Ni vigumu kupata habari za kutosha, sahihi, zilizo current na zenye maana katika kukusaidia kwenye campaign yako kupitia internet.Na hata kama unasema unaanza kujiandaa tu, muda uliobaki ni mchache. Kwa hiyo nakushauri anza kufanya juhudi uende kupata habari kutoka kwa wenyeji wa jimbo, hasa ma Al-Watan wenyewe.

Hapa zaidi ya accounts zilizopo mtandaoni ambazo yeyote anaweza kuzi google huwezi kupata zaidi ukilinganisha na on the ground.

Kuna vitu vingine vinaitwa "ungoogwable".
 
Msanilo,


Malinga, umekosea, ungesema unagombea CHADEMA, naamini ungepata ushauri kibao na pia PM nyingi.

Mkulima

See bold. Unataka kutuambia sehemu kubwa ya wana JF ni CHADEMA au JF ni chombo cha kuipinga CCM au unamaanisha nini? Tungo yako ni tata, isawazishe kidogo!!.
 
Kama unadhani ukimshinda Dr kwenye kura za maoni CCM ndo utaupata ubunge wa Kwela, basi umekosea sana. Wananchi wa pale hawakumpigia kura yeye, walimpigia Didas Mfupe wa NCCR-Mageuzi. Kwa NEC hii, kupigiwa kura ni jambo moja na kutangazwa mshindi ni jambo lingine kabisa!
 
Ukitaka kumshinda Mzindakaya mtafute Kapteni Mwambi kwanza ili akupe nyeti.Nilisikia yuko ubalozini Russia??Manake mbilinge yao wao iliamuliwa na Mkapa baada ya kumchomoa mmoja na kumpa ukuu wa mkoa/wilaya??
 
jamani, ubunge haukurupuki tu eti kwasababu ya malumbano ya watu, kwa CCM mpaka upite kura za maoni uwe mzoefu kwelikweli kwenye chama. kwa kifupi huna sifa kabisa hatukurupui watu tu toka usingizini na kudai wameota kuwatumikia wananchi, kiongozi anaandaliwa na kupikwa, endelea na kazi yako mbona hata hivyo mzindkaya anajitahidi.
 
Bwana Malinga,

Ninashawishika kusema kwamba unaonekana hauko serious na hili swala. Maana unaonekana hujui hata mahali pa kuanzia na unaweza kutolewa knock out kwenye maelezo ya awali kabla hata hujaenda kwenye kura za maoni kwa wanachama wenzako wa CCM.

Moja, unaonekana si mwana chama wa CCM, ila unataka kujiunga na CCM kwa ajili yakugombea Ubunge. CCM wanaweza kukupa nafasi hiyo iwapo tu ulishawahi shiriki kwenye uchaguzi kupitia chama cha upinzani na ukawapelekesha puta na pia iwapo hawana mtu wao kwenye hilo jimbo.

Hujui sifa za mgombea wa Ubunge kupitia CCM, hiyo ni kasoro kubwa sana. Na hilo linaonyesha ugeni wako ndani ya hicho chama na kinaweza kuwa kikwazo kukupitisha ugombee kupitia CCM.

Ushauri wangu hauna tofauti na ule wa Ex-Fisadi na Bluray: Hili zoezi ulitakiwa ulianze mapema zaidi kwa kuwa huna record ndani ya Jimbo, so ulitakiwa kuanza kufanya kazi na wananchi kwa ku-introduce programs mbali mbali za maendeleo ambazo zinawashirikisha wananchi (wapiga). Hilo linakusaidia angalau kuonyesha kwamba unaweza kuwa more useful ukipewa nafasi ya uwakilishi wakilinganisha na mbunge aliye madarakani kwa kipindi hicho.

Mambo mengine ni pamoja na kushirikiana na wananchi katika shughuli za kijamii ambazo zinagusa maisha yao ya kila siku na hasa pale unapokuwa unaenda huko mara kwa mara. Unadhani kwanini akina Aisha Kigoda wanagombana na Beatrice Shelukindo? Ni kwa kuwa kila weekend wako kwenye jimbo wanazunguka kusalimia wapiga kura, watu wanaosaka majimbo hawachezi mbali na wapiga kura wao.

Unatakiwa kusoma system nzima ya uchaguzi na nominations withn CCM ili ujue wapi kuna kikwazo na namna ya kupambana nacho. Unaweza kuongoza kwenye kura za maoni lakini kwenye vikao vya chama ukaja kutemwa.

Study weaknesses za Mbunge aliye madarakani, then angalia other potential candidates wana kipi cha ku-offer kwa wapiga kura in terms of development ya jimbo, na ujenge hoja kwamba kwanini wewe ni bora kuliko hao wengine wote.

Hisia kwamba ukiwa nominated kupitia CCM then unaingia Mjengoni bila tatizo, ni ya miaka ya nyuma. Wapiga kura wa leo wameamka sana so usije ukabweteka ukahisi kuwa ukimuangusha Mzindakaya basi utakuwa umeshinda Ubunge. Bado kuna wagombea wengine kutoka vyama vya ushindani ambao wanaweza kukutoa kwa hoja nzito.

Mwisho kabisa, it is too late kwa ajili ya kugombea mwakani, labda anza maandalizi kwa ajili ya 2015 ili hiyo miaka 5 uitumie kuonyesha kwamba unaweza kuchangia nini. Distance ya Mwanza - Sumbawanga inaweza kuwa kikwazo kikubwa sana na pia inategemeana na nature ya kazi yako kama utaweza kutembelea jimbo mara kwa mara katika kipindi cha kuelekea nominations ndani ya chama na hatimaye uchaguzi hapo mwakani.
 
Naona siku zako za kuishi duniani zinakaribia kuisha, yaani majimbo yote huyayaona mpaka kwa XCANT MAJIYATANGA MZINDAKAYA, JARIBU TUONE

Naunga mkono hoja 100% hata huko Kwela hatafika, itatokea ajali na atakufa pekeyake!!
 
Mimi nakushauri nenda jimbo la mh.waziri mkubwa huko sawa. lakini huko kwingine USIGUZE NI MOTO. Ila kama maisha yako umeamua kuyafupisha sawa jaribu.........
 
Alishawahi kutundika koti hewani kule kigoma alipokuwa mkuu wa mkoa kuwaonyesha kuwa kuwa yy ni nani (majiyatanga), dogo anzia mbali kwanza usikurupuke huo sio mchezo wa kitoto.
 
Back
Top Bottom