Nataka kufungua pub mbeya

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,041
6,292
Biashara ya pub mbeya inalipa?
MI kwa sasa nipo UK ila ningependa kufungua pub kule kwetu kwa sababu hapa vifaa ni bei rahisi kama tv kubwa ,music systms nk.
 
Yani emekaa ukawazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukaona pub ni tv na mziki.hata bongo hivyo vitu bei rahisi.kaa ujipange isije kua pub jina afu pakawa kama kwa mama ntilie.al the best
 
Back
Top Bottom