Paje
JF-Expert Member
- Apr 24, 2010
- 1,185
- 455
NAOMBA msaada nahitaji kuweza kufanya online shopping isiyozidi dola 50 au elfu 50 kwa mwezi, nipo hapa dar, jee nitumie njia gani? ni bank gani inayotoa credit card kwa kirahisi. bila ya kuwa na balance kubwa? au nitumi njia gani? msaada wowote au maoni yanakaribishwa.