Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Wife wangu anavyonipenda, ninavyompenda, na kubwa zaidi TUNAVYOPENDANA hawezi hata kuthubutu akaPM dawa zilizopitwa na wakati

Asante hubby kwa kunijua na kuniamini!Kloro anaona wivu maana hajawahi kupendwa!
 
ukiacha hizo kitu haupati ubunge sku hizi. acha nitimize malengo kwanza. hivi uporoto asharudi loliondo?

Basi na kupendwa mpaka uzeeke...that is kama kuna mtu anataka mzee tena mwenye kitambi!Mmh bado anaoga dawa siku tatu kabla ya kuondoka!
 
Tumechafua uzi wa watu kule, ukaniachia msala ukatoka nduki kama yote hivi, come tu make agreement here, tuachane na nyuzi za watu mana wenyewe wakari kama nyuki.
Good morning.
cc Sakayo
 
Back
Top Bottom