Nataka kuagiza Toyota Noah ya mwaka 2003

Richard Nguma

Member
Apr 29, 2011
64
5
Hello Makamanda.mpaka ifike Mombasa port au dar port ni $4800 ,je ina dumping fees?mpaka ingie barabarani
ni $ ngapi?au tshs ngapi?.je nitumie port gani? Isiyokuwa na usumbufu?Guys I hope to hear from u soon
My phone number is +15015451182
email
richardnguma@gmail.com
 
Import duty 25% + vat 18% na tumia port ya dar..tafuta agent mzuri atakutolea gari bila shida..
 
Import duty 25% + vat 18% na tumia port ya dar..tafuta agent mzuri atakutolea gari bila shida..
Nauliza vat inatozwa kwa sum which is inclusive of Import duty? Ama inatozwa kwa commercial invoice. Please advise commission cost/fee of agent
 
Hiyo ya 2003 haina uchakavu, kuhusu port yoyote ni nzuri kutegemeana na agent utakayempata. kukuhusu gharama Google ...gariyangu.com.....
 
Import duty 25% + vat 18% na tumia port ya dar..tafuta agent mzuri atakutolea gari bila shida..

kumbuka invoice yako wataitumia kama bei waliyoivalue wao iko chini kuliko ya kwako otherwise wanatumia ya kwao...kwenye website ya tra kuna hizo docs ,moja inaonyesha bei ya gari mpya na nyingine ina calculator itakayokuongoza kuikadiria bei gari yako.
halafu vat 18% inakatwa baada ya kupata total ya bei ya gari mpaka hapa(ya kwako au ya kwao) plus import duty. na agent pamoja na registration ni very close to 1M.
 
Thanks a lot for your help ,it looks like it cost 3.5milion mpaka iingie barabarani sio mbaya Kama nikitumia $2300 .
 
Back
Top Bottom