Nataka kuacha kazi nisimamie biashara yangu lakini naogopa-naomba ushauri

Mkuu your post is very inspiring ,naomba utuambie ni biashara gani uliyoanza nayo and kama bado unaendelea nayo.Alot of us are on the Fence kwani mshahara nikichek haulingani na life expenses,so most of my income comes from my bizness.ila swala la JOB Security ndo kimeo chenyewe
Mkuu niliacha kazi 7 years a go kusimamia biashara yangu na sikuwa na willing ya my wife and my mother, but I decided it. Ni ngumu kwa kiasi fulani kwani 3 months down the line mambo yaliharika sana baada ya kuugua na vijana niliowaajiri kunichakachua. Sikukata tamaa nilipigana kiume na ninavyo andika niko napambana na my wife ameamua kujoin the boat from last year. Hivyo karibu sana mzee uwanjani pambana na utafanikiwa. Kwa taarifa tu nilipoamua kuacha my gross salary it was aroung 6.7m
 
NewMzalendo mimi ni machinga nipo Kkoo. I do renewable energy business, nilianza na one outlet current I have two of them in Kkoo and soon we shall open a new outlet upcountry before the end of next month. Ni challenge nakubali kufanya biashara but ukiwa determined nakuhakikishia utafanikiwa. Once we meet and I narrate to you whole story hutoamini but ndo ukweli kaka. Karibu sana
 
Acha kabisa kwenda kwenye biashara mkuu...inaonekana wewe c mtu wa huko.
wenzio walijitosa kitambo na wala hawakuomba ushauri kama ww
 
Ladies and gentlemen... i have a high esteem for you all...

For Mkeshahoi's sake when is the right time to start abusiness(DON RUSH ...i have read all d contributions above)...?:dance::dance:????!
 

It hurts!!!!!

Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers.


* The 'Second Class' passes, and then pass MBA, become Administrators, Directors and control the 'First Class'.



* The 'Third Class' pass, enter politics and become Ministers and control both.



* Last, but not the least, The 'Failures' join business and control all the above.




Howz' that ? and where do you fall.




 
Back
Top Bottom