dazipozi JF-Expert Member Nov 5, 2011 1,137 106 Dec 23, 2011 #1 Ebwana ndugu msaada kwenye 2ta..nataka kuonganisha internet kwenye Simu yangu ya lg kp500 mtandao nao2mia airtel naomba msaada
Ebwana ndugu msaada kwenye 2ta..nataka kuonganisha internet kwenye Simu yangu ya lg kp500 mtandao nao2mia airtel naomba msaada
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,163 Dec 23, 2011 #2 bora wajuzi waje watusaidie mie natumia samsung