nataka ku unlike like zangu zote

kwani hautaki wakwe??????????
wakwe hapa ni miyeyusho..kuna mdada juzi alikuja na uzi wake hapa alikuwa anaingizwa chaka..kapewa mapenzi motot moto mawasiliano kwa sana kumbe jamaa lina mtu wake lilikuwa linataka kummega ,dada wa watu
 
kwa nini ana m pm mtoto wangu
Lol, sitaki kuamini kuwa wewe ni mbaba na una mtoto mkubwa wa kuweza kujiunga jf na kutumiwa PM...

Sasa uki unlike ndio ataacha kumPM?.. Ungemwendea ukamchana live bila chenga, umkanye aache.
 
lol, sitaki kuamini kuwa wewe ni mbaba na una mtoto mkubwa wa kuweza kujiunga jf na kutumiwa pm...

Sasa uki unlike ndio ataacha kumpm?.. Ungemwendea ukamchana live bila chenga, umkanye aache.
sweetylady kuwa na mtoto sio lazima umzae mwenyewe hata mtoto wa dada kaka yangu ni mwanangu jamani
 
Sio lazima kila siku uendekeze stress/mkazo mawazo,take it easy(potezea)sometime.....hapo je mtakatifu ivuga.
 
Back
Top Bottom