Nataka haraka.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Nataka haraka, mwanake mtu mzima anayenizidi umri. Kuanzia miaka 42 mpk 50. Naona vitoto vinanizingua tu.
 
ndio ukubwa huo dogo kaza buti mapenzi ndivyo yalivyo wewe unataka utese tu ? Na log off
 
punguza jazba...............unataka ku fly kabla hujajua kutambaaa.....komaa nao upate kisipirienzi dogo!
 
Nataka haraka, mwanake mtu mzima anayenizidi umri. Kuanzia miaka 42 mpk 50. Naona vitoto vinanizingua tu.

Overage watamu bana, ukimpata muelewa najituma mpaka basi tena tehe tehe tehe tehe. Kila la kheri lakini usiwe paka mapepe ukishapata overage unaanza kutafuta dogo dogo!
 
Wewe mwenyewe unasema ni vitoto sasa unategemea nini? Wewe kwanini ulihamua kudeal na vitoto?
Mimi nina 41 yrs bado ni kitoto?

Nataka haraka, mwanake mtu mzima anayenizidi umri. Kuanzia miaka 42 mpk 50. Naona vitoto vinanizingua tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom