Nataka gari aina ya starlet 5 doorz.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wadau, nimebahatika kudunduliza kidogo nilichokua napata na kufikia kias flani, hivyo natafuta gari ya kununua aina ya starlet...iwe katika hali nzuri. Nashukuru.
 
nenda kidongo chekundu pale nilipita jana kuna starlet sikuuliza bei ila ni nzuri, LUMUMBA pale na waweza kuwapa madalali kazi hiyo
 
ninayo toyota duet 5 doors, with airbag , automatic gear and automatic windows.
Needs minor repair works and service.
i want to sale it off for 6m.

it was being sold at 8m in town.
 
Wadau, nimebahatika kudunduliza kidogo nilichokua napata na kufikia kias flani, hivyo natafuta gari ya kununua aina ya starlet...iwe katika hali nzuri. Nashukuru.
kuna mshkaji wangu yupo dar anauza starlet.
kama upo siriaz pm nikupe contact zake mpatane bei mwana.
 
Back
Top Bottom