Natafututa TRELA (flatbed semi trailer)

Bonge

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
1,118
876
Wadau wa JF natafuta trela kwa ajili kubebea mizigo. Mimi tayari nina kichwa(hose/tractor) ninahitaji trela ili nianze kazi. Yeyote anayeuza au kukodisha tafadhali wasiliana nami kwa PM.
 
umeshapata hiyo trailler kwani nami natafuta ya kukodisha au kununua naomba unipe maelekezo kama unajua mahali wanapo kodisha :juggle:
 
Ni taabu kupata ya kukodisha ...nilibahatika kupata kwa mtu alikuwa anauza lake
 
kama nayatoa nje kuyaleta hapo, bei ya kuuza yamesimamaje? na uuzaji wake ukoje fast ama ndiyo mpaka itokee mtu ana shida kama nyinyi? tafadhali kwa yoyote anayejua naomba kujuwa.
 
Ninayo trela naweza kuuza kama utanipa bei nzuri, ni ya kutoka nje Rubber booster(air suspension), super single tires, na iko mwanza, imetumika kama mwezi mmoja tukabadili gari na kuwa pulling, PM kwa anayehitaji
 
Trailler super doll mwisho wa matatizo!mtumba container ya 20 hutabeba
 
Back
Top Bottom