Natafuta web browsers za Nokia E61i

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Naomba link ambayo nitaweza ku- download browser za Nokia E61i bure. Natumia za Opera Mini lakini hazina ufanisi.
 
Hii browser yake ni matatizo matupu! Ngoja nijaribu ulizonitzjia
 
e61 ni symbian inakubali browser zifuatazo
1) opera mini (v3 hadi v7)
2) opera mobile v10 hadi v12
3)ucbrowser (both java na symbian)
4) qq browser (browser mpya)

Watu wa nokia cha muhimu uwe na app ya ovi maana zote hizo zipo tena ni bure why uhangaike kwenye website nyengine wakati mambo ni rahisi tu?
 
Hii browser yake ni matatizo matupu! Ngoja nijaribu ulizonitzjia

Na nakuhakikishia download browser zote ila hutapata browser kama inayokuja na simu

1) hutapata browser yenye javascript inayoruhusu kudownload file sharing site kama wupload, file sonic na nyenginezo (zaid ya opera mobile)

2) hutapata browser yenye speed kubwa ya kudownload kitu kisichohitaji resume

3) hizo browser nyengine zina proxy mfano server4.operamini.com so zinadelay baadhi ya mambo na kuna vitu havionekani kwa uhalisia

4) ukumbuke kuna website zinahitaji kutambua simu yako na ili zitambue inabidi uwe unatumia browser so lazma utarudi tu
 
Back
Top Bottom