Natafuta wateja

STEGRA

Member
Aug 20, 2012
11
0
Mimi ni sales and marketing manager wa hotel moja hapa dsm. For both resident and non resident. Hotel iko mnazi mmoja area, vyumba ni vizuri na safi. Breakfast ni free, vyumba vyote vina maji moto, wifi internet, dstv, air condition. Tunatoa huduma ya ufuaji pia room service hutolewa kwa wale wote wanaopendelea kupata mahitaji ya chakula chumbani.usafiri kutoka na kwenda air port,ubungo bus terminal na bandarini unapatikana kwa bei nafuu. Pia tunapokea maharusi (honey mooners).
Pia hotel yetu ina mgahawa (restaurant) yenye wapishi waliobobea mapishi ya aina mbalimbali.
Kwa upande wa vyumba (malazi) tunatoa commision kwa wale wote wanaotuletea wageni/ wateja
kwa mawasiliano piga no 0713166237 au 0753607205
 
Umesema ni hotel? Nyota ngapi?..umesema ipo mnazi mmoja?..kuna parking za kutosha idadi ya vyumba mlivyonavyo?...weka bei tafadhali ikiwa kwa shilingi ya tanzania.
 
Jamaa amesepa!

Yaani TZ kila kitu tatizo! Customer care = 0, Marketing = -0 sijui kama tutafika!!

Jamaa kaja na mbwembwe kibao lakini ona sasa alivyosepa! Watu wanaulizia bei Kimya, Wanaulizia jina la Kijihotel - Kimya! Kaaaazi kweli kweli!!
 
huyui ni dalali na deiwaka. inaonyesha wazi kuwa hana kabisa ujuzi wa masuala ya MARKETING! Hotel haina jina????? Duuu!!! Bei ya vyumba???? Nyota ngapi?????? Au ni GUEST BUBU!!!!!!!!!!!!
 
Sasa simu inafaa nini kama hata jina la hotel halijawekwa hadharani?? Kama ndo umeneja masoko huu, bado safari ipo.
 
Unaweza kufanya marketing bila kutaja jina la hiyo hotel? You must be joking.
 
mpaka ss ashafukuzwa kazi huyu!

Atafukuzwa na nani Mkuu?

Waliompa hayo madaraka ni wale wale wasiojua maana ya kujitangaza hapo unategemea nini Mkuu?

Acha tusuesue tu! Pole pole ya mzee Kobe ilimfikisha mbali! Ndo kauli zetu hizo wa-Bongo
 
Hotel ina nyota moja, vyumba 67, parking ipo. Rate ni single 50,000 tshs, double ni 65,000 na suite ni 90,000. Kwa mawasiliano zaidi nipigie simu tafadhali
 
Ingekuwa enzi zileee ..tungesema hii hoteli wananyonya damu! Yani jina nalo ni issue ya kupiga simu na kwa jinsi ya utitiri wa mahoteli hapa mjini.
 
Jamani msimtoe nduki mleta mada, hataki kutaja jina sababu analipwa on camission basisi sasa akitaja mkienda wenyewe bila yeye kuwapeleka itakula kwake, so anachotaka unampigia ankupeleka, au anbook then mkono nae unaenda kinywani.

People be patient!
 
Back
Top Bottom