Natafuta Wachezaji Kuja Kucheza Europe

Huo utapeli wako unaotaka kutumia umepitwa na wakati!!! Wachezaji wanatafutiwa kwenye internet au viwanjani? Kama huna uwezo wa kusafiri kwenda kuchagua... huo uwezo wa kuwalisha na kuwalaza utaupata wapi?
 
Natafuta wachezaji kutoka afrika hasa watanzania kuja kujaribu soka hapa.

Uwezekano wa kupata timu ni mkubwa kama yeye ni mchezaji maana atajaribiwa ktk timu nyingi na za daraja tofauti.

Asiwe na umri unaozidi miaka 23.

Awe na uwezo wa kujigharamia Ticket

Maradhi na chakula akiwa hapa yatafanywa na kampuni.Mwariko atatumiwa na kampuni wa kuja kujaribu soka hapa

Kwa vile tz haiifahamiki kisoka tutahitaji wachezaji wa mwanzo wawe wanasakata kabumbu kisawasawa ili wapeperushe jina .
pia unaweza tembelea ktk web yetu .
www.nowakconsulting.pl

Nitwangie sms +48697461457 andika jina lako na klabu unayocheza mimi nitakutwangia simu moja kwa moja.
Ama nitwangie Email mkamap@yahoo.com ama uni PM ukibainisha namba yako ya simu.

ustaraabu Nimatumaini yangu hatuta ABUSE mawasiiano .Na ni mategeo yangu ujumbe tutawafikishia wahusika .
Otherwise ON PEACE !!!! C U then.

Na kweli... una mpango wa kuwagawia maradhi
 
Ni kweli kabisa na wewe ni mmoja wa mifano hai, ni wazi umekurupuka kuweka hili tangazo hapa, hukufikiri. Kuna issues nyingi ambazo ungeweza kuzifine tune kabla ya kuanza kuutangazia ulimwengu kile unachotaka kufanya.

Jamani kwa yeyote mwenye Namba ama contacts za wachezaji Nazihitaji

Tupo hapa kusaidiana sisi watanzania mwenye nafasi kama inamfiti mwingine
hana budi kumpatia.

Watu wengine mimi siwaelewi .Na lazima waelewe kila binadamu ana namba yake hapa duniani ambayo kamwe mtu mwingine hawezi kuicheza.Kujifanya mahili kwa kila kitu hakisaidii bali kunapumbaza akili ya mhusika.

Huyo anayeniomba mkataba au sasambue mimi namuomba atafasiri kwanza maneno yaliyo ktkt page ya kwanza ktk upande wa sport web hii nayo ni -
www.nowakconsulting.pl
akiwaza nitampa mkataba ausasambue kama atakavyo
Otherwise Atakua mvivu wa kufikiri na ukurupukaji usio na msingi.
 
Huo utapeli wako unaotaka kutumia umepitwa na wakati!!! Wachezaji wanatafutiwa kwenye internet au viwanjani? Kama huna uwezo wa kusafiri kwenda kuchagua... huo uwezo wa kuwalisha na kuwalaza utaupata wapi?

Hujui usemalo .Mungu akusamahe ktk hilo
 
Hii thread inatakiwa iunganishwe na ya yule jamaa anayeomba watu wamtumie namba za simu ili awasaidie kuwa wajasirimali! Au pengine ni huyo huyo.... kuku wa kienyeji anachakurachakura kama atapata chochote! Kajaribu kwingine... sio hapa
 
Mkamap,
Mkuu nakuomba sana uyasome maelezo ya jamaa waliotangulia na kuyapa umuhimu achana na hizo lugha walizotumia, lakini chukua points nzingi nzuri ambazo zitakusaidia na pengine kukuepusha na Balaa.

Majuzi nilikuwa nikiangalia kipindi kimoja cha BBC kuhusu Ma Agent wa Soccer nchini France jinsi walivyoharibu biashara hiyo kwa kuwavuta vijana wadogo sana toka Afrika Magharibi wakiwaahidi kuchezea timu za France. Lakini baada ya hao vijana kutopata usijiri ktk timu hawa Maagent waliingia kizani hivyo kuwabidi vijana hao kuwa Machinga wa Ulaya. Sasa basi serikali ya France imeanza kupeleleza kuhusiana na Maagent hao jinsi wanavyofanya kazi na ikiwezekana kuwafungulia mashtaka..

Kwa hiyo mkuu nadhani hoja kubwa hapa ni ushauri wa watu ujipange kisawasawa kwanza, kusajiri kampuni mtu yeyote anaweza kufanya hivyo nchi za Ulaya hakuna taabu kama nyumbani isipokuwa tu kile kityakacho fuatia ndio kinaweza kukuharibia maisha kabisa.
Binafsi, ningekushauri mbali na kusajili Ulaya sajili pia Bongo ambako utamweka mtu maalum kuchagua, kuvutia, na pengine visa za kusafiria kwa wale waliobahatika...

Mtego mkubwa hapa ni visa zaidi ya tiketi, kwa sababu wapo watu kibao Bongo wanaweza ku raise hizo 1.3 millioni kwa ajili ya tiketi isipokuwa hukwama kwenye visa. Hivyo basi, isiwe swala la kuvuta tuuu watu Ulaya kubmuka hii ni biashara huhitaji kucheza kamali wala kuogopa maji kuyakoga..
Unahitajika ku invest ktk vijana hao na mara nyingi navyofahamu Hata akitoka timu kubwa za gdaraja la kwanza watahitaji uwalipe fedha wao kama timu iliyomsajili, huyo kijana atazipata wapi?...Hivyo akiwa ktk mtihani huko Ulaya ni lazima uwe na makubaliano na timu iliyomsajili laa sivyo unatafuta vijana wasioweza kuucheza na sidhani kama Ulaya watapata nafasi ya kujaribu mtu ambaye hata kwetu Afrika hajawahi kuchezea daraja la kwanza.
Ndio hayo tu mkuu, huu ni ushauri unaweza kuuweka kando ukaendelea kubangaiza...Lakini kwa jinsi navyofahamu Ma agent wanavyofanya kazi mkuu hata kupata toka Nigeria na sijui wapi itakuwa ngumu..
 
Mkuu, mkamap.

Mimi nafikiri wazo lako si baya na ni muhimu kuzingatia lengo lako la kuinua vipaji vya soka vya vijana wa kitanzania.

Lakini mimi nakuuliza swali la msingi kabisa, je umewasiliana na TFF, BMT na vilabu vya soka vya Tanzania?

Pili je umefanya utafiti upi mpaka ukaona kwamba unaweza kuinua vipaji vya soka vya hao vijana unaowahitaji hasa katika soka la Ulaya?

Maswali haya yanaenda na mifano ya vilabu vya soka vya Nigeria, Ghana na Ivory Coast ambao wana mikataba na ushirikiano na FAs na vilabu vya soka vya Ulaya ambapo kunatengenezwa Avenues za vijana kwenda kufanya majaribio ya wiki mbili tau na sio miaka.

Sasa naomba pia utoe portfolio yako au profile ili tukufahamu na labda tuweze kukuchangia katika jitihada zako za kukuza soka la Tanzania.

Mwisho waambie hao wa-Poland waweke pia lugha ya kiingereza kwenye tovuti yao maana wengine hatujui ki-"polish".

Shukran.
 
Mkuu
mie nakupata vizuri
Hiyo kesi ya ufaransa sanasana inafanywa na wakongo ama manigeria nia yao hua wamekubaliana yani anamlipa yeye kazi yake ni kumfikisha huko akifika basi mchezo umeisha .sasa msako wa wafaransa ulivyo mkali wakiwakamata lazima waseme .

Mkandala
Viza hawezi kupewa kama hana ticket ya njia mbili,hata hivyo Ktk maelezo yako kunakitu mhimu nimekinoti asante mkuu.
 
Hii ni news nzuri sana,Shukurani kubwa kama utaweza kusaidia vijana wetu...Hongera Sana

Hio lugha ya kipolish na bongo wapi na wapi?

Web site----Polish
Simu-----Sweden....mhmhmhmh!!!!!!!!!

Mkuu,

Una uhakika +48 ni simu ya Sweden? Sweden ni +46, hiyo namba ni ya Poland.
 
Mkuu, mkamap.

Mimi nafikiri wazo lako si baya na ni muhimu kuzingatia lengo lako la kuinua vipaji vya soka vya vijana wa kitanzania.

Lakini mimi nakuuliza swali la msingi kabisa, je umewasiliana na TFF, BMT na vilabu vya soka vya Tanzania?

Pili je umefanya utafiti upi mpaka ukaona kwamba unaweza kuinua vipaji vya soka vya hao vijana unaowahitaji hasa katika soka la Ulaya?

Maswali haya yanaenda na mifano ya vilabu vya soka vya Nigeria, Ghana na Ivory Coast ambao wana mikataba na ushirikiano na FAs na vilabu vya soka vya Ulaya ambapo kunatengenezwa Avenues za vijana kwenda kufanya majaribio ya wiki mbili tau na sio miaka.

Sasa naomba pia utoe potfolio yako au profile ili tukufahamu na labda tuweze kukuchangia katika jitihada zako za kukuza soka la Tanzania.

Mwisho waambie hao wa-Poland waweke pia lugha ya kiingereza kwenye tovuti yao maana wengine hatujui ki-"polish".

Shukran.

Mkuu nashukuru kwa maswali yako

Mkuu mimi sijasema ninamikakati ya kuinua viwango vyao .Ila kampuni inahitaji wachezaji kutoka afrika na mimi kama mbongo nikaitia ushawishi tuchukue wabongo lengo ni kua wakipata timu lengo la kwanza mifuko yao itatuna wenda wakaongeza bangaloo pale mwembeyanga ,pili kiwango kitakua chenyewe kama wanabidii na hatimaye kiwango cha STARS.

Kampuni ina timu ambazo zipo tayari kuwajaribu daraja la kwanza ,lapili maana saizi ndio muda muafaka wa usajili.

Mchezaji akija akifika anapumzika siku mbili siku mbili anajaribiwa anaenda klabu ya pili na ya tatu naya mwisho.Anasaini mkataba na timu ama tunamsindikiza uwanja wa ndege .

Tumeelewana mkuu ama bado
 
www.nowakconsulting.pl
akiwaza nitampa mkataba ausasambue kama atakavyo
Otherwise Atakua mvivu wa kufikiri na ukurupukaji usio na msingi.

Usizungumzie kabisa masuala ya uvivu hapa kwa kuwa wewe ndio kinara, kwanini utudirect kwenye website ya kipolish? watanzania wangapi wanajua hiyo lugha? Kama hiyo agency yako imeamua kufanya scouting world wide kwanini wasi update hiyo website yao na kuiweka katika lugha za kimataifa? Na kwanini haupo tayari kusafiri kwenda bongo kuidentify vijana wenye vipaji kabla hawajachoma nauli zao kuja huko wakati hakuna guarantee kwamba watasajiliwa?Unajua thamani ya Tshs 1.3m kwa mtu anayetoka familia ya kimaskini? Ni wazi kwamba agency yako ina uwezo mdogo kifedha, achilia mbali kutoweza kuwalipia nauli vijana wenye vipaji kuja huko kwa majiribio, inaonekana hata kujilipia nauli ya kwenda bongo kufanya scouting ni mgogoro kwenu.
 
Mkuu nashukuru kwa maswali yako

Mkuu mimi sijasema ninamikakati ya kuinua viwango vyao .Ila kampuni inahitaji wachezaji kutoka afrika na mimi kama mbongo nikaitia ushawishi tuchukue wabongo lengo ni kua wakipata timu lengo la kwanza mifuko yao itatuna wenda wakaongeza bangaloo pale mwembeyanga ,pili kiwango kitakua chenyewe kama wanabidii na hatimaye kiwango cha STARS.

Kampuni ina timu ambazo zipo tayari kuwajaribu daraja la kwanza ,lapili maana saizi ndio muda muafaka wa usajili.

Mchezaji akija akifika anapumzika siku mbili siku mbili anajaribiwa anaenda klabu ya pili na ya tatu naya mwisho.Anasaini mkataba na timu ama tunamsindikiza uwanja wa ndege .

Tumeelewana mkuu ama bado

Sasa basi waunganishe na TFF maana kama nimekuelewa wewe unakuwa kiunganishi hapo.

Ila wenzako woote huenda Africa au field yoyote ile na unapo-spot talents zozote zile unaandaa taratibu za kuhamishia hizi talents huko Poland.

Sasa kuna masuala ya UHAMIAJI, International Clearance na mengine. Kwa hio ujue hapa usiishie tu kujitangaza hapa bali hata katika magazeti ya nyumbani Tanzania si unazo fwedha kaka?

Pia hapa ndio swali langu la msingi linaingia kutaka kujua je wewe una sifa gani za kuwa "agent" au "middleman" katika hii kampuni?

Ila wazo lako ni zuri na nakutakia mafanikio mema.
 
Richard

Wengine tulikuwa tunajaribu kutoa 2cents zetu kwa mshikaji kuhusu idea yake. Jinsi alivyotushushua, ilibidi tufyate tuu.... Tukajisemea kimoyo moyo.."duh yamekuwa haya....!!!!"

tatizo letu sisi wabongo kila mmoja amegeuka kua mwanasiasa mimi nimeomba contact za wachezaji lakini mtu anajitahidi kuligeuza kua siasa.
 
Usizungumzie kabisa masuala ya uvivu hapa kwa kuwa wewe ndio kinara, kwanini utudirect kwenye website ya kipolish? watanzania wangapi wanajua hiyo lugha? Kama hiyo agency yako imeamua kufanya scouting world wide kwanini wasi update hiyo website yao na kuiweka katika lugha za kimataifa? Na kwanini haupo tayari kusafiri kwenda bongo kuidentify vijana wenye vipaji kabla hawajachoma nauli zao kuja huko wakati hakuna guarantee kwamba watasajiliwa?Unajua thamani ya Tshs 1.3m kwa mtu anayetoka familia ya kimaskini? Ni wazi kwamba agency yako ina uwezo mdogo kifedha, achilia mbali kutoweza kuwalipia nauli vijana wenye vipaji kuja huko kwa majiribio, inaonekana hata kujilipia nauli ya kwenda bongo kufanya scouting ni mgogoro kwenu.

ndio mkuu na umesikika watanzania wamekusikia na wamekuelewa .

Mimi ninachoweza kusema ni kua Hakuna docomenti ya kiingereza,kiswahili ,kijerumani,kichina,kijapani ama lugha yoyote tofauti na polish inayowezwa sainiwa na mahakama nchini hapa.
wala hakuna mwanasheria hapa anaye process dokomenti za lugha za kimataifa yani kiingereza ,kifaransa na kispanish na zinginezo tofauti na polish.

Ukiona watu wanaoparamia lugha za watu ni sisi tu waafrika ndio utakuta tunatoka kifua mbele na lugha za watu kwa bahati mbaya sana hawa watu WEUPE wanapenda vyao.
 
Mimi ninachoweza kusema ni kua Hakuna docomenti ya kiingereza,kiswahili ,kijerumani,kichina,kijapani ama lugha yoyote tofauti na polish inayowezwa sainiwa na mahakama nchini hapa.
wala hakuna mwanasheria hapa anaye process dokomenti za lugha za kimataifa yani kiingereza ,kifaransa na kispanish na zinginezo tofauti na polish.

Usije tu ukasema hakuna website inayoruhusiwa kuwa katika lugha nyingine zaidi ya kipolish hapo!
 
Mkuu richard
kama ulikua unafuatilia humu ndani ya njavi kama wiki tatu zimepita niliwahi kuomba namba za wenyekiti wa vilabu.
kwa bahati nzuri mkjj akanipa fax na addr ya TFF rafi yangu fax haiendi wala email haiendi kama huamini chukua ujaribishe.

Baadae nikapata contacts za wenyekiti kadhaa wa vilabu vikubwa nimeongea nao na bado tupo ktk dialogue .
labda kama utanisaidia zaidi kupata contacts zao bado nahitaji msaada huo.
 
Mkamap,
Dont get me wrong bro, labda una nia njema kabisa lakini my problem ni jinsi ambavyo umeipresent idea nzima, hili ni suala zito so I would advise you to take your time, do some research halafu urudi na kitu kamili ambacho kitakuwa crystal clear kuepuka maswali mengi.
 
sawa sawa mkubwa wewe mtaaalamu tunakuamini endelea na juhudi hizo hizo na ubarikiwe sana .

Sina utaalamu wowote mkuu, ninachosema hapa ni mawazo yangu tu, your failure to deal with questions and criticism in this thread is shocking. Muda ambao umeutumia hapa kukaa tu na kubishana na watu tena wenye nia njema ya kukusaidia huku ukipinga hoja za msingi ni mwingi mno, ungekuwa unazichukua hizi hoja na kuzifanyia kazi ungekua umeshapiga hatua kubwa. Mwisho wa mchango wangu kwenye thread hii ni huu.Goodluck.
 
Mkamap,
Dont get me wrong bro, labda una nia njema kabisa lakini my problem ni jinsi ambavyo umeipresent idea nzima, hili ni suala zito so I would advise you to take your time, do some research halafu urudi na kitu kamili ambacho kitakuwa crystal clear kuepuka maswali mengi.

Sasa mkuu
yani wewe bado unadhani kuna watu bado wanakula watu wengine yani niwalete ili nije niwale nyama nini??

Ningewaomba fedha hapo sawa??

Kuna condition na terms watu wanazojiwekea sio lazima wote wafuate hizohizo.

saizi ni ulimwengu wa digital na si analog ndugu yangu .Na sharti lingine walilokua wameweka yani mchezaji ajifanyie films harafu makocha wakae wampe maksi na wamwiite ni zoezi rahisi lakini kwa bongo litachukua miaka.

Mkuu enzi zile watu walikua wanajibanza ktk nyasi ndefu wanatafuta wasichana kwa ksii ksiiii lakini leo hii mtu anaingia ktk neti anapata mchumba tena wa maisha tena bomba kabisaa.

critism gani hizo za kupakana matope eti mashamba makubwa !!!!!! unajenga hoja na unamwambia mtu hapa hapana ungefanya vile na hivi si kukimbilia kutukanana mara ooh nauli ooh mashamba ohh fedha ya kula tutatoa wapi hizi sio hoja za kujengana
 
Back
Top Bottom