Natafuta vyumba vya kupanga Kimara au Ubungo rent 100,000 - 150,000

mku

Member
Mar 27, 2011
88
9
Wakuu natafuta vyumba viwili yaani chumba na sitting room vinavyoingiliana kuwe na jiko na choo pia. Kuwe na umeme na maji na usalama ule ukirudi jioni jamaa wajasiri wa mali hawakufanyi wewe MKUKUTA WAO. Uwezo wangu ni TZS 100,000 at maximum 150,000 kwa mwezi na payment iwe kwa miezi sita sita. Naomba mwenye taarifa sahihi ani PM tafadhari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom