Natafuta viyatu vya Mitarawanda.

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Kama kuna mtu anajuwa (anaelewa) dula linalo uza viatu vya mitarawanda hapa jijini Dar naomba anijulishe .asanteni
 
hapo sina la kusema maana sijui!

BY THE WAY, NASIKIA UNAUZA USED BAJAJ

NIUZIE MIMI, NATAFUTA BAJAJ YA KUBEBEA MIZIGO YANGU KUPELEKA DUKANI
UNAYO KWELI? NI PM TUONGEE BEI, lakini iwe nzima na isizidi 2M
nasubiria
POWAAAA!!
 
mi ninavyo ila sina uhakika kama ndio vyenyewe, kwani jina lingine huwa vinaitwaje?
 
hapo sina la kusema maana sijui!

BY THE WAY, NASIKIA UNAUZA USED BAJAJ

NIUZIE MIMI, NATAFUTA BAJAJ YA KUBEBEA MIZIGO YANGU KUPELEKA DUKANI
UNAYO KWELI? NI PM TUONGEE BEI, lakini iwe nzima na isizidi 2M
nasubiria
POWAAAA!!

Tuwasiliane mkuu, ninayo iko bomba sana ila nataka niachane na biashara ya bajaj make kila mwendeshaji nayemwajiri anakuwa zurumati, harudishi hesabu. nakutumia namba ya simu kwenye pm
 
Mitarawanda ni nini?
Na viyatu ndio viatu? Au viyatu ni kitu kingine?

Mitarawanda ni viatu asilia hususan watu wa pwani na hutengezwa kwa mbao Mkuu ,ilikuwa nitowe ufafanuzi zaidi kwani nilipitikiwa kukumbuka kuwa kuna wengi wajawahi kusia au hata kuviona .
 
Babylon nenda kwa fundi viatu ukachongeshe! Lazima upeleke size yako ya mguu.

Kwa wale wasiofahamu mitarawanda ni viatu vya mbao ambavyo vikitumika hapo zamani makusudi kwa kwendea bafuni/******
 
Umenikumbusha mbali sana kwani ninakumbuka kwa bibi yangu kwenye mlango wa ****** [nje] ilikuwepo hapo na ilikuwa marufuku kuingia maliwatoni bila mitarawanda.
Kwa Dar sijui ukaulize kwa toti mtaa wa uhuru na sikukuu kama bado yupo [duka la madawa ya kienyeji la miaka zaidi ya 50]
 
------na mama kitunguu wa kinondoni,kama bado yupo
 
Kama kuna mtu anajuwa (anaelewa) dula linalo uza viatu vya mitarawanda hapa jijini Dar naomba anijulishe .asanteni

Viatu hivi unaweza ukavipata Tanga ( bara bara ya kumi ) karibu na msikiti wa ijumaa
mara ya mwisho pale Dar niliviona karibu na mtaa wa Aggrey lakini siku ni nyingi sana

jaribu kupata mtu wa Tanga ataweza kukutafutia (ni viatu vya mbao tupu na vinatumika kwendea ****** tu !
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom