natafuta Vits

Yo Yo ndo kusema hii ni power ya Mnunuzi?

Dah. Vitz ya Million3.
Unataka iliyopata ajali?
 
Simama hapo barabarani utaziona kibao zinapita, chukua moja bure nimekupa.
Ukiona gari imeandikwa vitz halafu ina plate number ya njano, ujue ni ya kwangu.
mwenye vits tuwasiliane nina mil3 tu......
 
gx100 kwa sasa ukikomaa unaitoa zenji kwa hadi 9m,

lakin vitz haina negotiation chini ya 6m
 
aisee zile makitu kwa mufindi wacha kabisa......!sehemu yoyote inayopita bajaji kinapita tu.....!

ahsanteni sana wajapani

Hahaha Carina Ti my road je haioni ndani?

Nasikia hata masafa marefu unaenda kuna jamaa alitoka TA alitumia saa 4 tu yupo Dar
 
Hahaha Carina Ti my road je haioni ndani?

Nasikia hata masafa marefu unaenda kuna jamaa alitoka TA alitumia saa 4 tu yupo Dar

mkuu carina-Ti ukiwa na 6.5m unaipata....lakini vitz huwez pata chini ya 6m.....!halaf wese sasa.....ukiweka la buku tano jua linazama hivi hivi.

na kinachapa mwendo masafa vile vile....!eisii kama upo lupembe.

ahsanteni sana wajapani.....!kitu cc 970 CHA HALI YA MTU.

yoyo hiyo 3m nenda kaitumie jolly,hupati vitz
 
vitz zimekuwa deal hapa mujini

huwez pata kwa hiyo bei

Vitz lakini si zina matatizo sana kwenye mfumo wake wa electronics au?

Teamo vp hiyo mbege hapo kwenye picha yako? Bado ipo meku?
 
Vitz lakini si zina matatizo sana kwenye mfumo wake wa electronics au?

Teamo vp hiyo mbege hapo kwenye picha yako? Bado ipo meku?
aisee mi ninaona watu wanachapa nazo maisha tu.....!

kuna vitz zina miaka hapa zimeshakata miaka mitatu na zaidi,watu wamepaki makruza yao

asee meku karibu KILAJI...!aafu mwambie wiselady asinifanyie hivyo
 
ahhaaa wiselady kakufanyaje tena mkuu..nitamfikishia ujumbe lakini...kumbe bado haujakamilisha hiyo project eh .....angalia usifilisike mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom