Natafuta tractor marsey furgeson hp80

Upanga

Senior Member
Jun 18, 2007
145
50
Wadau natafuta Tractor aina ya Marsey Furgeson ya Horse Power80 iwe brand New.
Nikipata bei pamoja na Jembe lake nitashukuru sana kwa wale wa UINGEREZA wanaweza nipa Bei hadi kufika hapa TZ au ya Kununulia tuu pale pale.
Natanguliza shukurani zangu kwa kusema KILIMO KWANZA na KILIMO KAZI
 
Wasiliana na namba hii 0713344230 au 0784319045 Mr Adson mwambie umeelekezwa na Mafie
 
Nimeongea naye Mr.Adson amenieleza na kunipa msaada locally!nitafanyia kazi lakini nikipata bei za Uingereza najuwa hata gharama hazitakuwa kubwa kihivyo.
 
Wizara ya Kilimo hawauzi matrekta na KILIMO KWANZA ni Slogan inayoonyesha kumjali mkulima kwa kummuongezea uwezo wa kuzalisha kwa kutumia mbolea na machinery pamoja na umwagiliaji.
Inshort ni kauli ya kusukuma KILIMO MBELE ZAIDI
 
Wadau natafuta Tractor aina ya Marsey Furgeson ya Horse Power80 iwe brand New.
Nikipata bei pamoja na Jembe lake nitashukuru sana kwa wale wa UINGEREZA wanaweza nipa Bei hadi kufika hapa TZ au ya Kununulia tuu pale pale.
Natanguliza shukurani zangu kwa kusema KILIMO KWANZA na KILIMO KAZI

Mkuu hapa hapa utaki mpaka uingereza?
 
Hapana Bei za hapa kwetu ni za ajabu sana yaani mtu anataka kupata faida hata hao wenye kiwanda hawapati hiyo hela
 
Wasiliana na Export Showroom Tanzania Ltd. Hii kampuni ndani yake kuna watanzania na waingereza. Hapa Tz imeshingiza Brand New Tractors
zaidi ya ishirini. Ofisi zao hapa Dar zipo katika jengo la kitegauchumi ghorofa ya 8. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia simu hii 0784225000
 
Asanteni.

Na mimi nimewaandikia.

Nanunua Tractor niende Wilaya ya Kilindi kule Tanga na kilombero, Morogoro.
 
Ukihitaji Matractor aina ya Massey Fergusson 590 au aina nyingine kutoka Uingereza, yenye hali nzuri na kwa bei nafuu nipigie au tuma sms kwenda 0757420211. Yapo Dar es Salaam....iwapo upo mikoani msaada wa kuyafikisha ulipo (baada ya manunuzi) unapatikana.

Wenu Mtiifu.

Phares.
 
Kaka usipate shida kama kweli unahitaji tractor tembelea tovuti hii hapa. www.Howard and sons.co.uk wanauza tractor hao toka UK na tractor zao ni renovated ziko sawa au mtafute bwana mmoja kwa number hii 0784 939254 muda Mrefu amekuwa anatumia tractor na ni mtahalamu sana kwenye farm machinery atakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom