Natafuta Toyota Raum!

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Ndugu wana JF, Natafuta Toyota Raum. Je ni showroom gani hapa Dar naweza kuipata? Au kama kuna mtu anayo na anaiuza, anipm ili tuwasiliane.
 
Unatafuta Toyota RAUM ili uje umlaumu nini ndugu yangu?

Sijakuelewa!!
Nijuavyo hizi gari ni nzuri sana kwa fuel consumption.
Watu hawazipendi tu coz ile milango yake miwili inafunguka kama dala dala.
ila kwa hapa mjini iko biyee sana(FUEL & PARKING SPACE)

Analyst waweza check na kitomai. Google hilo jina then you will be directed to his post here, and many of them have got his mobile No.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom