Natafuta Tenda ya Kutengeneza Website

tinya

Member
Jan 4, 2010
77
30
Wapendwa, mbele yenu ni dada mjasiriamali na mtanzania,
Natafuta tenda kutengeneza website.
Natumia asp, phpmysql na xml.
Naweza kutengeneza database driven website, kama forum, newsboards, chatboard nk.
Kama kuna yeyoye anayehitaji please
Pia ni mzuri kwenye kutengeneza database.

email yangu ni perfectcommunications@rocketmail.com.

Asanteni
 
Ndugu yangu naona ungetupatia link ya website yako na sio e-mail through third part (yahoo e-mail address)
 
Kwanini usifikirie kujiajiri , uwe na kampuni yako na utengeneze portals zako ambazo unaweza kuziuza ? Naomba kuona baadhi ya tovuti ulizotengeneza au miradi inayofanana na hiyo uliyowahi kufanya
 
Kwanini usifikirie kujiajiri , uwe na kampuni yako na utengeneze portals zako ambazo unaweza kuziuza ? Naomba kuona baadhi ya tovuti ulizotengeneza au miradi inayofanana na hiyo uliyowahi kufanya
kwani kutafuta tenda sio kujiajiri? au ameomba ajira kazini ama sijaelewa.Kwa uelewa wangu naelewa jamaa anakufanyia kazi kwa kumpa tenda sio kumhajiri na kuwa bosi wake.Anaweza kufanyia sehemu yake ndo maana ya Tenda.Kwa hiyo ndo kujiajiri hivyo,otherwise ushauri wako ni mzuri.
 
nafikiri itakuwa best kama dada yangu utatengeneze website yako (kama bado) na kuwa na sample sites kama mbili tatu ili watu waone creativity yako, kuna free web hosting kibao tu just google, web designning is not all about coding its about how well you can present your ideas, watu tukitembelea basi tutakupatia/kutafutia tenda. vinginevyo nimefurahiswa na moyo wako wa kujiajiri don't give up, mungu atakusaidia.
 
Asante, zipo lakini sikizihost, nashukuru kwa ushauri wako ntautendea kazi.
 
hongera dada .. unachotakiwa onyesha kazi ambazo umeshafanya au umeshafanya na watu gani tuone inakuwa rahisi hata kukupa kazi hizo
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Niko Dar, Maeneo ya Kurasini but ukinielekeza ofisini kwako naweza kuja
 
Mie nakupongeza sana we Mdada!Nawashangaa wanaosema Ujiari!Kitendo kutafuta kazi ya Tenda ndio kujiari kwenyewe!
Mie Mwa-mkweche naungana na wale wanaosema Uoneshage na kazi zako afu pia Uwage na Kablogu kako pia!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Back
Top Bottom