Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta tenda ya kupamba na kudesign

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ladyfurahia, Dec 6, 2012.

 1. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 12,266
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 63
  Hay wanajf

  Mimi ni mpambaji na mbunifu wa kutengeneza kadi mbalimbali ziwe za kipaimara, sendoff, harusi, na vilevile ni mpambaji (decoration) katika kumbi mbalimbali au sehemu yeyote ile kama utapenda ufanyiwe shughuli hiyo ya upambaji na nafanya printing katika Tshirt, caps, jags na vinyl hivyo kama utapenda kufanyiwa huduma hizi usisite kunitwangia hapa katika email hii email:[email protected]

  Haya ni baadhi ya mambo ninayofanya:

  : View attachment 73776
   
 2. k

  kichwaones JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa kaza boot
   
 3. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 12,266
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 63
  thanks nitafutie bana au hata ndugu zako
   
Loading...
Similar Threads - Natafuta tenda kupamba Forum Date
Mimi ni mtaalam wa garden, natafuta tenda Nafasi za Kazi na Tenda Mar 20, 2016
Natafuta Tenda ya Huduma za Mobile Money Nafasi za Kazi na Tenda Feb 19, 2016
Natafuta tenda ya kuchapisha na kusambaza mitihani kwenye mashule Nafasi za Kazi na Tenda May 30, 2015
Natafuta tenda ya kuprint kazi zozote za karatasi, Kanda ya Ziwa Nafasi za Kazi na Tenda Feb 3, 2015
Natafuta tenda ya usafirishaji Nafasi za Kazi na Tenda Dec 5, 2014

Share This Page