Natafuta tempo kwa muda wa mwezi mmoja!

jepro

Member
Oct 28, 2011
90
6
ninaelewa computer vizuri,ninaufahamu ktk database,computer maintanance and assembling na pia naweza kufundisha phyisics and chemistry!! na pia naweza kufanya biashara yeyote ile!!wadau mwenye mchongo anistue o714133166 au email edwinjepro@yahoo.com pamoja sana wadau wote wa JF..
 
Kuelewa cyo ishu watu huwa hawaajiriw kwa kuelewa cv ndo inatakiwa,ar u compitent enought kijana?vyeti unavyo au unaelewa 2?una lev gan ya eductn?
 
Kuelewa cyo ishu watu huwa hawaajiriw kwa kuelewa cv ndo inatakiwa,ar u compitent enought kijana?vyeti unavyo au unaelewa 2?una lev gan ya eductn?
sikiliza broo me nimeomba tempo bado nipo chuo nasoma its just nafanya kazi kwa kipindi ambacho nipo likizo and then tukifungua kama kawaida anrudi chuo na pia ishu ya cv ni kuwa me nipo mwaka wa tatu chuoni
 
sa mbona vyuo vimeisha funguliwa?
 
ushauri wangu kwako kama kweli unasoma na uko mwaka wa 3 basi weka akili yako kwenye masomo ili ukihitimu ndo uanze michakato ya kutafuta kazi. Kwasasa utachanganya mambo mkuu yaaani shule kwanza fedha badae.
 
ninaelewa computer vizuri,ninaufahamu ktk database,computer maintanance and assembling na pia naweza kufundisha phyisics and chemistry!! na pia naweza kufanya biashara yeyote ile!!wadau mwenye mchongo anistue o714133166 au email edwinjepro@yahoo.com pamoja sana wadau wote wa JF..

Tempo mwezi mmoja anayekupa hiyo kazi atakuwa hajakufaidi "you will not create any value to shareholders" miezi mitatu sawa maana mwezi wa kwanza ni wa kujifunza unachopaswa kufanya (hapa wewe ndiye unayefaidi) miezi miwili ni kumwongezea mwenye shughuli utajiri (business goal)
 
Me natafuta tempo az nimecmamishwa udom toka mwez wa 6 n wana2zngua. Ka ukipata kwny nafas nying nchek via0714883861
 
Daaah!kwel vijana wa UDOM mmejipnga,ww ulifukuzwa ssa unatafuta job au chuo coz ka cjakupatapat vle braz.....
 
It takes one and a half years to find one temporary job without a bribe kijana. Huo mwezi wako mmoja utumie kusali na kufunga.

Na wewe unayemwambia mwenzio kuhusu vyeti na sio kuelewa, vyeti ni makaratasi tu ambayo hata mimi nikitulia kwa muda kwenye computer yangu naweza kukutengenezea. Unafikiri tukikupa leseni leo itakusaidia kuendesha gari kama hukuwahi kujifunza.
 
Mchicha unakua 21 days kukua so fanya hilo dili yaani nyie watoto mnacheza watu wamezeeka na ma-degree yao wanatafuta permanent jobs we tempo tena unapanga mda wewe. ACHA BAANA WATU WANA STRESS SANA
 
Back
Top Bottom