Natafuta suruali za wamama wajawazito.

Olive

Member
Jun 25, 2011
88
9
Wandugu habarini za w/end?naishi Arusha nategemea kusafiri na kuelekea Dar kesho,nia na mazumuni ni kutaka kujua wapi haswa nikiwa Dar naweza kupata hizo suruali kwaajili ya wamama wajawazito,zaweza kua z jeans au kitambaa zote nikipata ni sawa.asanteni sana wadau.
 
uende pale mikocheni,shoppers plaza, 1st floor, 9 months maternity, utapata.

Ushindwe mwenyewe tu!
 
Haya Arusha unasema zipo!sehemu gani arusha wakati nimesha zitafuta mpaka sasa naamua kusafiri na kuelekea Dar?
 
Back
Top Bottom