Natafuta spair za simu

Paul M.

Member
May 18, 2015
9
2
Mimi ni fundi simu wa Muda mrefu, kwa sasa naishi mbeya willaya ya Mbarali. Nauliza gharama za spair bei ya Jumla. Vifaa ninavyohitaji ni speaker, Mic, Display za aina zote, sit cover, Housing, Motherboard na vingine vingi. Nauliza nikiwa na shilingi ngapi naweza kupata mzigo wa kutosha, Na sehemu gani vinapatikana.

Contact: Email: paulmohamed48@yahoo.com Mob. 0764768676
 
Mkuu hii namba yako ni ya whatssap kama sio nicheck kwenye namba hii nikuunge kwenye group la biashara na wajasiriamali watakurahisishia kazi yako
 
Utavipata kkoo,mtaa wa aggrey ,mtaa kulia
Yapo maduka ya jumla ya vifaa
Yapo ndan ndani uliza vizur
 
Mkuu hii namba yako ni ya whatssap kama sio nicheck kwenye namba hii nikuunge kwenye group la biashara na wajasiriamali watakurahisishia kazi yako
Mkuu mm pia naomba uniunge na group hilo la whatsaap namba 0717733340
 
Back
Top Bottom