Natafuta SOUND Drivers za HP PAVILLION DV9000

Ally Msangi

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
608
120
Plz jamani natafuta sound drivers za HP pavillion dv9000, plz mwenye nazo ani postie hapa,
 
Plz jamani natafuta sound drivers za HP pavillion dv9000, plz mwenye nazo ani postie hapa,

kama alikushauri Amoeba your first stop inatakiwa kuwa website ya Manufacturer. Tafuta kipendgele cha cha support and drivers. Ingiza Model yako then chagua OS. itakuja list ya vitu vingi chagua hitaji lako.

Shy naye kakuwekea link ya manufaturer.

Toshiba can be one of the best brand ya laptop lakini HP ina one of the best and friendly support website.

Mfano kama unatumia XP hii ndo page utakaykuta drivers husika.
Software & Driver Downloads HP Pavilion dv9000 CTO Notebook PC - HP technical support (United Kingdom - English)
 
Thanx guys, nimejaribu hzo zote bt stil ina goma nw nipo na try Real tek driverz ka zitakubali,
 
Thanx guys, nimejaribu hzo zote bt stil ina goma nw nipo na try Real tek driverz ka zitakubali,
Zitagomaje? Unless unajaribu kuweka drivers ambazo sio za Hardware husika ama za OS ofauti.

Hutakiwi kutry unatakiwa kuwa na uhakiaka. "Usijaribu kuchukua dereva wa Mark II aendeshe FIAT "

So kwanza nenda kwenye Computer management ujue hardware Model ( gari ) ya Audio ya DV9000 ni ipi. Mostly likely itakuwa ni Conexant.

Na kwa uzoefu wangu most Audio hardware za HP nilizowai kuspport ni Conexant na sio Realtek. Sasa ukidownload madereva ya realtek yaendeshe gari amabalo hata hayajui gia zake zikoje utasababisha "ajali" Teh teh teh

kwa hiyo Audio driver za HP nyingi zinaitwa Conexant. Nenda kwenye computer management then Device drivers. ili ujue Driver halisi unayotakiwa kutafuta. Driver zitakozokuwa zinamatatizo zitakuwa na alama ya njano.

Kukurahisishia kazi kama speaker zako ni Conexant
kama OS yako ni XP ingiza
s.gif
sp34200.exe download hiyo itakuwa ndo driver ya sound
Kama OS yako ni VISTA ingiza
s.gif
sp39414.exe
Kama unatumia Windows 7 jaribu hiyo ya vista otherwise wasilina na HP wana online we serice
 
the thing ni kwamba hizo apo najaribu ku download bt haziendi sa cjui ni low bandwidth au ni file zipo corrupted, cos zingine zina download poa 2
 
Plz jamani natafuta sound drivers za HP pavillion dv9000, plz mwenye nazo ani postie hapa,
reala2m, wakati ukihangaikia hizo drives, naomba nikupe angalizo muhimu.
HP pavillion nilaptop nzuri ila screen zake ni nyanya sana, hivyo ilee kama yai. Niliinunua brand new dukani, tena toka kwa registered outhorised dealer na waranty ya miaka 2, nimekaa nayo within a year, kwanza screen ikaanza kuleta mistari, baadae inawaka nusu screen na hatimaye total black, kuirudisha kwa dealer akasema screen imekufa waranti haita cover kwa hoja eti nimeiharibu, jamaa wanadai niliiangusha, sikuwahi kuiangusha, it just got dead!.
 
Ni AMD au Intel. Kama ni AMD mi ninazo ila ni Windows XP. So confirm prosessor kama ni AMD na ni XP then nitakutupia hapa
 
Ni AMD au Intel. Kama ni AMD mi ninazo ila ni Windows XP. So confirm prosessor kama ni AMD na ni XP then nitakutupia hapa

Ebu Nielimishe mkuu How driver pia zinategemea Brand ya Proccesor?

Mimi naelewa Driver hazifanyi communication moja kwa moja na processor. Driver zina communicate na OS na OS ndio ina uhusiano na Procceesor. So brand ya ya proccesor sio kikwazo.
 
Zipo ambazo zinatofautiana. Kwa mfano kama computer ina intel processor then inabidi iwe na driver ya hiyo processor. Huwezi ukatumia driver ya AMD processor kwenye intel. Pia drivers zinaweza kutafautiana within one processor. Kwa mfano, unaweza kuta computer mbili zinatumia inter processor lakini video cards ni tofauti. Moja inaweza kuwa na inel processors na Nvidia video card, wakati nyingine ina intel processor na ATI video card. Kwa hiyo hapo inabidi utafute drivers for each video card.

In short, hardware zote zilizo kwenye computer ni lazina ziwe na specific drivers zake ili zifanye kazi. Every device, whether it be a printer, disk drive, or keyboard, must have a driver program made for the device. Each device has its own set of specialized commands that only its specific driver knows. So, a HP printer will not work with a computer that only has a Canon driver. And although, ATI and Nvidia graphic cards do the same jobs, they do it differently.
 
Nakubaliana na baadhi ya maelezo yako lakini bado sijaelewa uhusiamo wa Device driver na Brand ya Processor

In computing, a device driver or software driver is a computer program allowing higher-level computer programs to interact with a hardware device.
A driver typically communicates with the device through the computer bus or communications subsystem to which the hardware connects. When a calling program invokes a routine in the driver, the driver issues commands to the device. Once the device sends data back to the driver, the driver may invoke routines in the original calling program. Drivers are hardware-dependent and operating-system-specific. They usually provide the interrupt handling required for any necessary asynchronous time-dependent hardware interface.................

source Device driver - Wikipedia, the free encyclopedia
unaweza kutembelea pia Abstraction layer - Wikipedia, the free encyclopedia
Hakuna sehemu wanasema Driver are Proccessor dependent sababu Driver hazina communication moja kwa moja na Proccessor. Driver zina depend na OS na type ya hardware kama ulivyosema iwe ni Video, Network, spekers. Sasa sijui sijaelewa wapi?

Nimejaribu kujikumbusha kwa ku google layers of computer system. utagundua hakuna uhusiano wa Proccessor brand na device driver.
 
Nakubaliana na baadhi ya maelezo yako lakini bado sijaelewa uhusiamo wa Device driver na Brand ya Processor

Hakuna sehemu wanasema Driver are Proccessor dependent sababu Driver hazina communication moja kwa moja na Proccessor. Driver zina depend na OS na type ya hardware kama ulivyosema iwe ni Video, Network, spekers. Sasa sijui sijaelewa wapi?

Nimejaribu kujikumbusha kwa ku google layers of computer system. utagundua hakuna uhusiano wa Proccessor brand na device driver.

Kwa hiyo una maana kuwa driver ya processor ya intel uki-install kwenye computer yenye processor ya AMD and vice versa, hiyo computer itafanya kazi?
 
Kwa hiyo una maana kuwa driver ya processor ya intel uki-install kwenye computer yenye processor ya AMD and vice versa, hiyo computer itafanya kazi?

sijui una maana gani unaposema driver ya proccesor ya intel???? Umewai kufanya installion ya driver za proccessor? nadhani proccesor software ni Low level. sijui kama inawezekana user kufanya installation ya drivever za CPU
.
Ndio maana driver inakuwa ni ya specific kwa OS (eg XP, VISTA, Linusx. etc) na kwa ajili ya specif hardrware (eg video, Spekaer, Keyboardetc kama ulivyosema )

Driver ni kama bridge kati ya ya OS na Hardware . Driver haina direct relation na processor .OS ndo ina relation na Proccessr.

driver kazi yake ni kuistafisiria OS jinsi hardrware fulani inavyofanya kazi na OS ikiwa na maelezo jisni hardware inavyofanya kazi ndio inakuwa na kazi ya kuwasiliana na Processor.

NB
But we can lern new things everyday naweza kurekebishwa na kukosolewa
 
My 2 Cents:
"driver" ya Processor inaitwa OS.
Kwa kifupi hakuna driver ya processor.
CPU->[Kernel+GUI] (OS)->User
Sound Card->Driver->OS...
 
Back
Top Bottom