Natafuta Soulmate

Rejao of all people? Itakuwa shughuli. Ujue mi kamanda, but we subiri tu nitatoa shortlist soon
Inamaana unanidisqualify mapema? Hutaki kufanyiwa presidential weeding? Usichezee hii nafasi. Kati ya wote waliotuma applications naona rejao ndiye atakufaa zaidi!!
 
Kwa staili hii nitapata kweli?

take it from me.... 99.9999999% like it with no sugar added!!! and that AVATAR has no sugar added... "BEAUTY DE NATURALE"

Hope that remains a reality, siyo ya ya ********* LOL!!
 
#
heheh Swahiba kwa hii hali inavyokwenda usje ukashangaa ikawa hata mods washajichanganya na sisi hapa kwa kutumia ID zao nyengine. Unaona mtu ana jina la ajabu ajabu kumbe PAW anapapatua mchumba lemonade.

You are dayym right there dude, waweza kuta hata MAX keshatotoa ka-ID kamoja kakunasia hiki kindege, LOL:dizzy::-*
 
Inamaana unanidisqualify mapema? Hutaki kufanyiwa presidential weeding? Usichezee hii nafasi. Kati ya wote waliotuma applications naona rejao ndiye atakufaa zaidi!!

Duh tempting...
Lakini nimekunywa maji ya bendera, afu naogopa umamluki
 
I'm not hiring, so you dont need to show me your academic qualifications, just PM me and tell me a bit about you, your likes and dislikes...

Mmmh.Nimevutiwa sana na huu ujumbe.Siku hizi watu wanaamini kwamba wakitaka kuoa au kuolewa lazima wataje elimu yao. Mimi huwa najiuliza hilo ni tangazo la ajira.

Vipi kiasi cha pesa anachotakiwa kuwa nacho kwa mwezi. Wenzako huwa wanataja na kiasi cha pesa kama vile awe ana kipato cha milioni 2 kwa mwezi.

Best wishes.
 
karibu search line mtaftaji mwenzangu. BTW i wish all the best. me bdo wanasubir oral interview!
 
Mmmh.Nimevutiwa sana na huu ujumbe.Siku hizi watu wanaamini kwamba wakitaka kuoa au kuolewa lazima wataje elimu yao. Mimi huwa najiuliza hilo ni tangazo la ajira.

Vipi kiasi cha pesa anachotakiwa kuwa nacho kwa mwezi. Wenzako huwa wanataja na kiasi cha pesa kama vile awe ana kipato cha milioni 2 kwa mwezi.

Best wishes.

Mimi ni true love na vigezo zingatiwa tu, mengine, mtu yeyote anayewajibika hakosi rizki. Like Zitto said #Accountability
 
Aiseee! Wana-mwanza tupoooooo??? Haya wale wa mkolani, nyegezi-stand, kijiweni, tema, nyegezi-kona, Isen, butimba-kona, mkuyuni, voil, pepsi, tanesco mpaka Isimilo twendeni tukajaribu zali, MUNGU ANANJIA NYINGI ZA KUTUKUTANISHA..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom