Natafuta soko

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Kwa mara ya kwanza najiunga na ukumbi huu kuwajulisha ya kwamba natafuta soko la vitu hivi nyumbani - Pasta, Cigarettes na vifaa vya Ujenzi (wholesales). Mwenye kufahamu soko ama interested ya kujua bei zake anaweza wasiliana nami kwanza kupitia PM hapa JF..
 
mkandara

kwa vifaa vya ujenzi . please specify, on finishing trade of the building i can advice and recommend
 
kwa cigarrete TCC wanataka ma dealer wengi..... waone kampuni ya sigara wao watakupa. mimi nilitaka kufanya biashara ya siga, inalipa. lakini niliambiwa ni vema sigara ikauzika na bidhaa za nyumbani. mimi nina duka la vifaa vya ujenzi mkoani so nikaahirisha kuwa dealer mpaka hapo nitakapofungua duka la bidhaa za nyumbani.
 
mkandara

kwa vifaa vya ujenzi . please specify, on finishing trade of the building i can advice and recommend
vifaa vya ujenzi ni pamoja na equipment, nadhani swala langu linatanguliwa na demand iliyopo kwanza kabla ya kutazama ni vitu gani nataka ku supply. Nipe orodha ya vitu vinavyohitajika nami nitakupa bei zake at wholesale price.
 
vifaa vya ujenzi
una mbao?
milango?madirisha?
ya alminium?ya material zipi????
nondo????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom