Natafuta Soko la Korosho

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Habari zenu wanaJF..., naomba mtu mwenye taarifa ya namna ya kupata soko la korosho zilizobanguliwa aina zote mbili (white na brown) toka Mtwara. Packing ni kilo moja kwa kila package. Nahitaji mnunuzi wa jumla kwa soko la Dar es Salaan na Arusha. Ninauwezo wa kuzalisha wastani wa kilo mia tatu kwa wiki. Mtu mwenye interest na biashara hii anaweza kuni-pm, nimpe contact yangu ya simu ili tuongee kibiashara.
 
kilo unauza bei gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom