Natafuta soko la asali

mkandarasi

Member
Sep 16, 2010
22
11
Ndugu zangu nina mzigo wa asali ambayo haijakorogwa wala kuchanganywa na kitu chochote, ipo lita elfu tatu,ipo kwenye buckets za lita 20, kwa sasa sina nguvu ya kufanya processing au labelling na packing, ninatafuta soko ndani au nje ya nchi jinsi ilivyo, ninaomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia japo mawazo.
 
Asali ya wapi,nyuki wadogo au wakubwa bei kwa lita?tujulishe tufanye biashara.
 
Huyu na asali yake naona kachungulia kidogo na kufunga computer. Akijibu maswali ndo tutaweza kumsaidia
 
ndugu toa basi hata no ya simu ili tuweze kuwasiliana, na pia tusaidie kujibu hayo maswali ya hapo juu yani unauza sh ngapi kwa lita 20 n a ni asali ya wapi???
 
mkuu umeitunza kwenye ndoo za plastiki au chuma. Kama za chuma, aisee utakuwa umefanya kosa kubwa sana ila kama za plastiki poa
 
Jamaa atakuwa amepata wateja wa chapchap.let's hope kama atajitokeza next time.
 
Jamaa atakuwa amepata wateja wa chapchap.let's hope kama atajitokeza next time.
 
ndugu zangu nina mzigo wa asali ambayo haijakorogwa wala kuchanganywa na kitu chochote, ipo lita elfu tatu,ipo kwenye buckets za lita 20, kwa sasa sina nguvu ya kufanya processing au labelling na packing, ninatafuta soko ndani au nje ya nchi jinsi ilivyo, ninaomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia japo mawazo.

upo wapiiiiiiiiiiiiii? Kama upo mikoani ipeleke dar
 
Waheshimiwa, na mimi pia huwa nasambaza asali(isiyochakachuliwa) za nyuki wakubwa na wadogo,pamoja na mayai ya kuku wa kienyeji kwa atakaye hitaji naomba awasiliane na mimi, namba 0655634374
naishi DSM, maeneo ya kinondoni. Kwa wanaoishi Dar es Salaam na maeneo nitakayoweza kuyafikia kwa urahisi nitakufikishia mzigo mpaka mlangoni kwako.

upo wapiiiiiiiiiiiiii? Kama upo mikoani ipeleke dar
 
Wadau kwanza samahani kwa ukimya wangu, hii ni kwa sbb muda mwingi nakuwa vijijini ambako hakuna njia hizi za mawasiliano. Asali ni ya nyuki wakubwa inatokea Handeni Tanga. Aidha nina mawasiliano pia na wafugaji wa Tabora na ninaweza kupata mzigo pia kwao itakapohitajika. Asali ipo kwenye ndoo za plastiki za lita 20 na ninauza elfu themanini kwa ndoo moja, namba yangu ya simu ni 0768422532 ila nitakuwa napatikana kuanzia jumanne next week 24 April. Ninawashukuru sana kwa mwitikio wenu.
 
ni pm tuongee kazi
 
Back
Top Bottom