Natafuta soko la asali

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
JF kwa maendeleo.
Jamaa leo nimekuja na kichwa hicho cha habari.
jamani ambae anaweza kunipa taarifa kuliko na soko la asali nitamshukuru.
akiainisha bei japo kwa lita 1 itakua poa sana.
Mikoa ya dar es salaam, morogoro, dodoma naipa kipaumbele.
karibuni sana kimchango.
 
Mkuu kama asali yako haijachakachuliwa ni PM tafadhali. ila uwe tayari to supply the product kwa wingi pia eleza ujazo wako.
 
JF kwa maendeleo.
Jamaa leo nimekuja na kichwa hicho cha habari.
jamani ambae anaweza kunipa taarifa kuliko na soko la asali nitamshukuru.
akiainisha bei japo kwa lita 1 itakua poa sana.
Mikoa ya dar es salaam, morogoro, dodoma naipa kipaumbele.
karibuni sana kimchango.

Bei hutoa muuzaji sio mnunuzi, wewe ndie unajuwa gharama zako na ndio ujuwe kupanga bei.

Mfano, ukiwa unauza kidogo kidogo (rejareja) baada ya gharama zote unaweza ongeza 20% na kama unauza kwa wingi unaongeza baada ya gharama zote, faida ya 5% to 15% kutegemea na turn over.

Nawajuwa watu wanao nunua asali safi kwa wingi Dar. ni pm nikuunganishe nao. Kama sio chakachuwa na ni "constant supply", nikimaanisha iwe ni biashara ya kuendelea na si ya kujaribu soko mara moja.
 
Huku dodoma wanatuuzia elf 2, wanajaza kwenye chupa ya konyagi. Wanywaji wa konyagi watasema ile chupa ni litre ngapi.
 
Wanajamii forum naomba msaada wenu mimi ninaweza kusupply asali constantly kwa wingi kutoka TBR naSingida,naomba anaye fahamu soko la uhakika aniunganishe.
 
NAOMBA 2ELEWANE KWANI MI NIPO HP ARUSHA NA BILA SHAKA ASALI CYO K2 CHA KUHANGAIKIA BIASHARA KWANI NI K2 AMBACHO SOKO LIKO WAZI KBS NAOMBA UKO MAKINI NA TOPIC HII NAOMBA MAJIBU NIKUANGUSHIE GMAIL KWA MAWASILIANO ZAIDI. (Nakusubiria)
 
Arusha kuna kiwanda cha kusindika asali na Iringa wapo Dabaga vegetable and Fruit Canning nao wanasindika asali, sina hakika na Ivory Iringa. Kupeleka Kiwandani moja kwa moja ni salama zaidi kwako muuzaji kuliko ma-argent wa mitaani. Jaribu kuwatafuta wasindikaji ktk miji hiyo.
 
NAOMBA 2ELEWANE KWANI MI NIPO HP ARUSHA NA BILA SHAKA ASALI CYO K2 CHA KUHANGAIKIA BIASHARA KWANI NI K2 AMBACHO SOKO LIKO WAZI KBS NAOMBA UKO MAKINI NA TOPIC HII NAOMBA MAJIBU NIKUANGUSHIE GMAIL KWA MAWASILIANO ZAIDI. (Nakusubiria)
Mkuu we ndo unanunua ama unawafahamu wanunuzi nami ipo natafuta soko
 
Anaye jua sokola asali ama anae nunua bei ya jumula mawasiliano ni 0744190463 /0786957118
Usipendelee kuandika namba zako za simu hapa, nenda PM, hiyo PM maana yake ni 'Private Message'. Pia, kabla ya kupost thread yako jaribu kusoma na kuhariri ulichoandika kuna makosa mengi ya kiuandishi unafanya.
 
Back
Top Bottom