tototundu
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 198
- 40
Picture this scenario, Natumia modem ya kasi ya Airtel (3.6 Mbps) nyumbani (ambayo nimei share nyumba nzima kwa kutumia Internet Connection Sharing) kuperuzi hapa na pale, mtoto wangu wa kiume yuko chumbani kwake anadownload movies kwa kutumia utorrent, mtoto wangu wa kike yupo chumbani kwake busy na youtube; bottom line 3GB zangu kwenye modem zinaisha kwa kasi ya ajabu.
Kwa kuwa mimi ndio nakaa na modem so nacontrol connection yenyewe, natafuta software ambayo itaniwezesha ku block bittorrent connections na pia kuzuia video zisi download toka youtube.
Kwa sasa natumia wireshark, lakini hainisaidii sana, ninachoweza kuona ni TCP, UDP na HTTP connections zote zikipita kwenye modem lakini siwezi kuzi block.
Wataalam naomba msaada.