Natafuta simu ya kununua!!!

inakubali net ya kawaida?weka picha na toa namba ya simu na mimi nipo moro ntaipataje?na ina vitu gani?mfano earphone n,k
 
Hivi we ngosha wewe, maduka yote hayo ya simu unashindwa kwenda kununua unatafutia JF?
 
Last edited by a moderator:
maduka nayajua sana but natafuta simu nzuri ambayo ni used najua ntapata kwa hela hiyo,maana ikiwa mpya huwezi pata kwa hiyo noti,we kama huna sepa sio walionazo unaona wameanza kuweka contact
 
Inakaa na chaji mda gani?maana hizo ugonjwa mkubwa upo kwenye umeme,
 
ipo samsung galaxy i7500,adroid os nzuri camera 5mp autofocus,nicheki kwenye namba 0719223225
 
ipo samsung galaxy i7500,adroid os nzuri camera 5mp autofocus,nicheki kwenye namba 0719223225 inakaa na chaji siku mbili
 
nina Nokia e71 made in finland used 3month + earphone na charger.ni ya kubadili keypad mana nili angusha bahati mbaya ika meguka ila mtu hawezi jua ,kama ukitaka naweza kuku badilishia mana ni buku 1o tu kubadili ukiwa uki itaka ntakubadilishia tufanye biashara.iko kweny hali nzuri sana.BEi 150Tsh -kununua call
 
nina Nokia e71 made in finland used 3month + earphone na charger.ni ya kubadili keypad mana nili angusha bahati mbaya ika meguka ila mtu hawezi jua ,kama ukitaka naweza kuku badilishia mana ni buku 1o tu kubadili ukiwa uki itaka ntakubadilishia tufanye biashara.iko kweny hali nzuri sana.BEi 150Tsh -kununua call 0715036176

Ntakupigia na nipo moro ntaipataje?na ina haraka mkubwa
 
nina Nokia e71 made in finland used 3month + earphone na charger.ni ya kubadili keypad mana nili angusha bahati mbaya ika meguka ila mtu hawezi jua ,kama ukitaka naweza kuku badilishia mana ni buku 1o tu kubadili ukiwa uki itaka ntakubadilishia tufanye biashara.iko kweny hali nzuri sana.BEi 150Tsh -kununua call 0715036176
dah!! kweli wewe ni networker,yani kila sehemu upo kuanzia magari hadi simu. That is what is called hustling bro & I like it.
 
Yap! Mr.ngosha kuna ki2 cha nokia 5233 nyeusi,ina miezi minne tu inauzwa "180000.TZ$" haina tatizo,ni touchscreen smartphone na ina apps za kumwaga tu,kila kitu kam internet,radio,mmry card kubwa tu,pia ina vitu vyake vyot kam USB cable,chaja,headphones,me naishi "DSM",so kama vipi zama google kabisa uione,kama utaipenda nicheki kwenye hii namba yangu "0712269097" alafu tuwasiliane jinsi ya kuipata.
 
Bajeti yangu tsh 180,000/=mwenye nayo ani pm

nokia asha 311.nimeitumia kwa miezi sita tu na bado ina warrant yake inaisha october mwaka huu.iko ktk hali zuri kbs.
charger utapata na earphone.memory card sina.
bei 180000:
np dar.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom